JF Online Party is on!!

dah! zile pombe za jana zilikuwa noumer. hapa nilipo nina mning'inio wa kufa mtu. jana nimepoteza simu yangu. kama kuna mtu kaiona naomba anirudishie kama vipi hata nikipata line tu jamaani. ni hayo tu. Mia
 
Back
Top Bottom