JF nisaidieni kutafakari maneno haya

mkibunga

Senior Member
Nov 17, 2010
196
25
HERI MBUNGE WANGU ANAYETOLEWA BUNGENI KWA KUTETEA MASLAHI YA TAIFA KULIKO WA KWAKO ANAYESINZIA BUNGENI KAMA wasira, samwel sitta , ANAYETAPIKA kama mrema na KUSUBIRI POSHO ZAO;



asset.php
24072011256.jpg



"JK NI CHAGUO LA MUNGU" Maana yake Mwenyezi Mungu kwa makusudi kabisa alimuacha JK achakachue apate kuwa rais ili aimalizie CCM kabisa na hatimaye Tanzania ipate Ukombozi. Ama kweli mwacheni Mungu aitwe Mungu. Kifo cha CCM 2015 ni mpango wa Mungu.

NAOMBA KUWASILISHA
 
Back
Top Bottom