JF Ninusuruni

Andrew Jr

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
329
112
Jamani niwahini nisipotee na kufa kwa presha
Nina mpennzi wangu wote tuko chuo kikuu lakini course tofauti lakini tunalingana Umri. Tumeishi kwa pamoja kwa miaka 4 kwa mapenzi ya dhati zaidi ya hat hiv nnavyosema. Mimi namaliza chuo mwaka huu, lakini yeye anasoma sheria lazma wasome miaka 4 kabla ya school of Law
Wasisi wangu ni umri,, na tumepanga kuoana. Je wazazi watatuelewa kwa kigezo cha umri? Jamani nambieni
 
hilo sio tatizo nilidhani anakusaliti kumbe hilo sio tatizo.
 
Wasiwasi wako ni umri tu au kuna kitu kingine?

Kwa nini uendeshwe na hisia zaidi kuliko uhalisia? Moyo wa Glory kama nitkuwa nimekupata vizuri ina maan wewe ndiyo umemzidi huyo mbwanga miaka minne?

Wazazi wako ulishawahi kuwasikia wakisema kuhusu suala hilo la umri na wakalijengea msimamo kama suala la tofauti za dini lilivyo?

Hata hivyo usife kwa presha kama mnapendana kwa dhati ukikifika wasaa pelekaneni kwa wazazi ili musikie wanasemaje?

Kama itatokea wakawa na mawazo sambamba na hisia zako fungeeni dasara la kumananisha kwa wazazi wenu natumani hawatakuwa wakoloni kama wale wa miaka 47.

Najua tatizo lako siyo kubwa ila umelikuza mwenyewe halafu likakutisha!!!!! Ulishawahi kufunga mlango wa nyumba yako halafu ukatoka safari kisha ukaanza kuwaza kuwa hujafunga mlango na ukaogopa kwelikweli kuwa utaibiwa kila kitu kwa HOFU AMBAYO UMEIJENGA MWENYEWE KUWA LABDA SIJAFUNGA VIZURI AU SIKUFUNGA KABISA!!!

Ni mtazamo tu.
 
Wasiwasi wako ni umri tu au kuna kitu kingine?

Kwa nini uendeshwe na hisia zaidi kuliko uhalisia? Moyo wa Glory kama nitkuwa nimekupata vizuri ina maan wewe ndiyo umemzidi huyo mbwanga miaka minne?

Wazazi wako ulishawahi kuwasikia wakisema kuhusu suala hilo la umri na wakalijengea msimamo kama suala la tofauti za dini lilivyo?

Hata hivyo usife kwa presha kama mnapendana mwa dhati ukikifika wasaa pelekaneni kwa wazazi ili musikie wanasemaje?

Kama itatokea wakawa na mawazo sambamba na hisia zako fungeeni dasara la kumananisha kwa wazazi wenu natumani hawatakuwa wakoloni kama wale wa miaka 47.

Najua tatizo lako siyo kubwa ila umelikuza mwenyewe halafu likakutisha!!!!! Ulishawahi kufunga mlango wa nyumba yako halafu ukatoka safari kisha ukaanza kuwaza kuwa hujafunga mlango na ukaogopa kwelikweli na kama unamoyo mwepesi kuwa utaibiwa kila kitu kwa HOFU AMBAYO UMEIJENGA MWENYEWE KUWA LABDA SIJAFUNGA VIZURI AU SIKUFUNGA KABISA!!!

Ni mtazamo tu.

amesema wamelingana umri na sio amemzidi miaka minne soma tena Losambo
 
Last edited by a moderator:
Umri sio tatizo what matters ni mapenzi ya kweli na msimamo..kwani watu wakitaka kuoana wazazi lazima waulize umri??umri ni swala dogo sana..
 
Mbona unaandika kama umeishia form 4 shule ya kata.
Hili ni tatizo la kuletwa na graduate mtarajiwa.
OTIS
 
Losambo nashukuru, sijamzidi umri tumepishana mwezi mmoja. Tulianza wote chuo lakin wao wanasoma miaka 4 mana wanasoma Law mim namaliza mwaka huu so ntamwacha chuo.
Wote tuko dini moja na tunasali sana na kama ni uaminifu huu ndio halisi, nami namtendea haki kwa kuwa mwaminifu so tunaaminiana sana.
 
Hamna tatizo hapo, labda kama kwenye utendaji kitandani kuna kasoro!

Ndoa hujengwa na tendo la ndoa, au kwa kizungu wanasema A MARRIAGE HAS TO BE CONSUMED...

Sasa kama hapo kuna tatizo, sepa fasta!
 
Mbona unajitia wasiwasi? unakusudia umri utakua umekwenda mpaka akimaliza au ndio muowane au wazazi wanahusika na nini kwenye umri na mpenzi yenu nyie wawili? toa presha muachie mwenyezi mungu.
 
ni kweli....umri ni tatizo kubwa sana.....wazazi lazima wakisanue....
 
kama umekaa na wazazi wako hutashindwa 'kuwasoma'-
lazima utakuwa unajua ukiwapeleka mtu wa aina gani watareact vp-thats all
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom