JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni!

Kwa hiyo wewe ndo unanikurupusha hivi?
Unataka niseme yale unayotaka wewe?
Kwa hiyo unataka kubadili topik iwe mimi kurudi chit chat?

Hivi vyote vinaonesha ujengaji wako wa hoja na uwezo wako wa kumpigia debe unayemtaka/mwamini.
Kwa vitisho? Kwa kumdegrade mtu? what a shame!

Naona umepitiwa na msemo mdogo tu, "don't judge a book by it's cover"

wewe mama umenisikitisha sana ,,ndio maana nakuomba kuwa urudi tu kule chit chat , kwani umekuja haoa kumpinga willium ilihali hujui hata kuwa anagimbea na kina nani. nakuomba sana urudi tu kule chit chat ..sasa kama hujatuambia mbadala wa williama kwa nini unampinga? au unafuata tu mkondo wa maji kisa william ni mwana ccm ..hata mimi ni mwana chadema ila sikurupukagi
 
Huyu tayari ashakula pesa za dhuluma za CCM hafai!

Kwa wasiomuelewa William ni wa kwanza kushoto katika hii picha.

386456_289782994376454_100000342668655_1028823_1598867757_n.jpg
 
Kwa hiyo wewe ndo unanikurupusha hivi?
Unataka niseme yale unayotaka wewe?
Kwa hiyo unataka kubadili topik iwe mimi kurudi chit chat?

Hivi vyote vinaonesha ujengaji wako wa hoja na uwezo wako wa kumpigia debe unayemtaka/mwamini.
Kwa vitisho? Kwa kumdegrade mtu? what a shame!

Naona umepitiwa na msemo mdogo tu, "don't judge a book by it's cover"

what a shame.....kongosho hujajibu swali langu. ok hatumtaki william. tumpe nani? swali nimelirahisisha
 
Na browse on mobile, vipi umebadilisha ile signature ya bahari le mutuz? Kama bado tegemea kupewa kura na sharobaroz.
 
Ngoja nikupe mfano mdogo.

Kuwa mahali kwa muda mrefu kuna faida kama utaamua kupatumia kwa faida
Kuifahamu jf kabla ya mtu yeyote patakusaidia kama utaamua kujifunza na kufanya upembuzi wa hoja
Kusema tu unaifahamu jf haitoshi.

Ni wakuja wangapi hapa Dar wa-run town na wazawa wa hapa wako pale pale.
Unawasikia tu nimekulia sea view lakini maisha hayajabadilika??
Open your eyes na badili shock absober zako.
mimi nilikuwepo kabla yako mama, na JF naijua sana kuliko unavyodhani. kama unampinga william utamsapoti nani sasa? tupe alternative yake basi mama tuyamalize ..kama hujui na unapinga tu kisa william ni ccm basi utakuwa unapigwa mjengo
 
Umegeneralize vitu ni kama vile pia kwenye bunge ilo utakuwa tu kama mtalii, ishu EU na EAC ni tofauti sana tatizo la eurozone na EAC halina uhusiano wa dhati wa kuombea kura maana ni la kisera zaidi ya hayo unayojua,lakini kwa kuwa gamba hakuna tatizo.
 
mimi nilikuwepo kabla yako mama, na JF naijua sana kuliko unavyodhani. kama unampinga william utamsapoti nani sasa? tupe alternative yake basi mama tuyamalize ..kama hujui na unapinga tu kisa william ni ccm basi utakuwa unapigwa mjengo

Samahani. Ni mjengo wa chini au mjengo wa juu?
 
Ngoja nikupe mfano mdogo.

Kuwa mahali kwa muda mrefu kuna faida kama utaamua kupatumia kwa faida
Kuifahamu jf kabla ya mtu yeyote patakusaidia kama utaamua kujifunza na kufanya upembuzi wa hoja
Kusema tu unaifahamu jf haitoshi.

Ni wakuja wangapi hapa Dar wa-run town na wazawa wa hapa wako pale pale.
Unawasikia tu nimekulia sea view lakini maisha hayajabadilika??
Open your eyes na badili shock absober zako.

ok, let go on ..jibu swali nililokuuliza acha kupiga soga
 
Hivi umeielewa hii mada??
Angetaka tuwajadili wagombea wenzake angewaweka hapa.

Kama una hamu tuwajadili na wao, anzisha sredi yao.
what a shame.....kongosho hujajibu swali langu. ok hatumtaki william. tumpe nani? swali nimelirahisisha
 
Tunakutakia mafanikio mema, jiamini kujieleza naona hizo sera zako zina mashiko ukizisimamia na kujieleza vizuri. Tatizo na wasiwasi wangu ni kwa hicho chama chako CCM usijekushangaa tayari kuna watu washamwaga pesa na matusi wewe unakuwa huna chako.

Badilikeni jamani chama lenu linakufa hilo. Other wise kila la heri mkuu.

Eh wakusoma mmefunga shule sio kwa ajili ya pasaka?karibu tena jamvini toto bishi.
 
"Ninaamini kwamba wengine wakija na ideas kutoka upinzani na wengine tukija na the same ideas kutokea ndani ya CCM, siku moja tutalisaidia taifa letu kufika pahali linapotakiwa kwa....."



PATHETIC....
 
Kaka William, ni dhahiri kwamba unaweza ukawa na mtizamo mzuri sana dhidi ya taifa lako. Sina hakika ndani ya CCM kama watakupitisha kwa namna ambayo kuna makundi yanayohasimiana kisiasa ndani ya CCM. Sasa jina lako tu yaani Malechela, linaweza likakuweka katika kundi ambalo pengine nguvu yake ya ushawishi ni ndogo na hivo kukufanya hata uwe na hoja thabiti kiasi gani, wakakuona haufai.

Lakini kwa kuwa binadamu tuna kila wajibu wa kupendana, mimi binafsi nakutakia kila la heri, all the best bro.
 
Hivi umeielewa hii mada??
Angetaka tuwajadili wagombea wenzake angewaweka hapa.

Kama una hamu tuwajadili na wao, anzisha sredi yao.

Jibu langu kwa mada hii liko wazi
Huyu hatufai.

kweli chit chat imevamia siasa.
kwa hiyo kwa vile William hakufai basi tusipeleke mbunge east africa? unajibu vitu nusu nusu ukipinga kitu uwe umejipanga mama hapa inaonyesha jinsi gani mama unafuata mkumbo .shauri yako wewe fuata fuata tu ukija kun'gatwa huko mbele ya safari sisi hatumo.
nakuuliza kwa mara ya mwisho.
umesema Willam hafai. sasa nani anafaa?
 
- Mkuu nimekusikia, isipokuwa naomba ukaangalie tena kumbu kumbu zako kuhusu majina ya wagombea waliopo sasa maana huenda hauko current, Millya is my friend and I respect as a humanbeing na mkuu uwe na siku njema sana!

- Otherwise sidhani kama wewe unaandika hapa kutokana na siasa za baba na mama yako unless kuna something I am missing hapo kwenye hoja zako!

William.

Hapo kwenye nyekundu:
Yaani huna mjadala na umwonae ni mpuuzi hata ktk siku kuu kama ya leo ambapo unaomba uombewe sala. Jamaa katumia lugha si nzuri lakini nashangaa nawe unatumia lugha ileile ya upanga-upanga ya ki-CCM, sidhani hata kama utalisaidia taifa kama ukichaguliwa. Ukichaguliwa ufundi wako mzuri wa kujadiliana kwa facts ndio utaweza kutatua tatizo la ardhi la EA na si kwa kudhalilishana ama kebehi. In fact jamaa, Ulukolokwitanga, wazazi wake hawafahamiki kwa wengi (hata wakifahimika si hoja) na labda si wanasiasa lkn wote tunajua wazazi wako wanafahamika na ni wanasiasa na hapo ndio usemi wako unapoishiwa FACTS. Ona mambo nje ya box la CCM ili uweze kuisaidia CCM yako na taifa kwa ujumla.

Ahsante kwa kujitolea kugombea UBUNGE wa EA lkn hapo hapo majibu yako yameonyesha jinsi ambavyo utaliumiza taifa endapo utachaguliwa. Tujifunze kujibu VIZURI hasa kwa wale wanaotegemea kupata ngazi za juu za uongozi, ukichaguliwa bado unatuwakilisha sisi na unawajibika kwetu. Unabidi uwe mfano wa kuonyesha heshima.
 
Wewe W.J. Malecela vipi? this is a home of GTs. Badala ya kuomba NONDO wewe unaomba SALA, kwani unakwenda kugombea upadri, ukasisi, ushehe, uchungaji?

Mwenzako (CCM) aliwahi kuulizwa kirefu cha SADC na Tundu Lissu akapiga chini. Anyway kwakuwa huko ni CCM wenzako policy inayo aplly ni WHO KNOWS YOU and HOW MUCH UMEHONGA. Lakini kwakuwa manakwenda kuwakilisha Tanzania first yopu have to know the MISSION and VISION of EAC? What are the stand of Tz GOVT kwenye masuala kama common currency, Ardhi, common market, free labour movements visa vi other members States. Organogram of EAC how it functions kufikia mamuzi etc, SWOT of EAC

Hayo ni mambo machache ambayo inabidi uyafahamu kabla hujaingia kwenye intreview
Naona unampa desa la interview...

Asifikiri atakwenda kuulizwa JF wanaemaje kuhusu kuvuana magamba!!
 
Back
Top Bottom