JF ni mambo yote nimepata mume hapa jamani nashukuru

Ina maana miezi sita mshafanya maamuzi mazito hivi, au ndo love at the first site? hongereni sana jf ni kisima cha kila kitu
Hata mm nimewaza kitu hichohicho, baada ya mwaka njoo utujuze maendeleo ya ndoa yako. Hongera mwaya.
 
hongera kwa kuopoa kitu humu jf,lakin si mbaya kama utamtaja ili tumjue ni nani humu ana mapenzi ya dhati kiasi hiki, manake watu wengi now days hawaamin juu yamapenz ya kukutana mtandaoni.
 
Hesabu za haraka...... Umejiunga JF tarehe15 juni 2011 ninaamini by mwezi wa saba ukaanza kuchati na mtu humu jamvini by mwezi wa nane mkakubaliana kupeana kampani na hapohapo mkaanza ku-duu bila kondom ambayo inaweza kupelekea uja uzito wa mwezi mmoja sasa assuming mimba iliingia baada ya wiki mbili tatu. Kweli dada yangu upo fasta

Mkuu una uhakika hiyo ndo tarehe yake ya kwanza kabisa kuwemo humu JF..!!!? Kama kweli kapata mwenza kutoka humu na tayari amemuambukiza ujauzito.....basi haiwezekani asilani kuwa hiyo ndio tarehe aliyojiunga humu. Sema tu anatumia ID hiyo kueleza yale ambayo pengine anaona aibu kutueleza kwa kutumia ID yake inayojulikana na wengi kwa muda mrefu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom