JF ni mambo yote nimepata mume hapa jamani nashukuru

Inabidi ututangaze huko uliko! Ukiweza tafuta T-shirt za JF kama ukumbo wenu daima. Hongera sana, And all the best.
 
Duh kila nikiangalia hii avatar yu huyu binti alivyoiweka na hii post yake inasema mengi na lengo lake hasa la kujiunga jamvini.........warembo kweli kazeni buti,maisha yatangishie mbele hamna haja kusubiri......
 
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana

ni ushuhuda wa kweli
duh! kumbe huku JF kuna raha na karaha pia? Juzi ilikuwa Machozi kwa bebii leo furaha kwako. Hongereni sana. kikiumana tu usikose kuja tena hapa hapa jamvini tuwape maidha. sawa mamiiiiii???
 
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana

ni ushuhuda wa kweli

Ndoa bado lakini tayari 'kitumbo ndii'! Sijui mtaelimika lini dada zangu.
 
Kweli DOT.COM generation noma. Kuna mzee mmoja aliniambia shida ya kizazi hiki(1980>) huwa hakitaki kushikiwa......pengine ndio sababu mkuu kaamua kutanguliza FETUS tumboni kabla ya ndoa kama uthibitisho kwamba udongo una rutuba....!!!!
 
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana

ni ushuhuda wa kweli
Hongera mama Jery.Baba jery na yeye anaitwa nani humu tumPM kwa pongezi?????????
 
Kweli DOT.COM generation noma. Kuna mzee mmoja aliniambia shida ya kizazi hiki(1980>) huwa hakitaki kushikiwa......pengine ndio sababu mkuu kaamua kutanguliza FETUS tumboni kabla ya ndoa kama uthibitisho kwamba udongo una rutuba....!!!!

Ni kazi kweli kweli kizazi hichi...........hebu angalia yule Kintakuntai anavyolalama,naye alipenda kama huyu......ushauri wa bure tu,though i don't want to sound negative katikati ya hii sherehe.......afuatilie kisa cha huyu mwenzie KintaKuntai na thread yake inayosomeka " Ni lazima mwanangu akikua ajue coz ninajuta kumpenda baba yake"

Nadhani hili ni angalizo kwa wengine walio mbioni kama huyu
 
mmmmh ma Jery we ni noooma,nakumbuka mwezi June ulikuwa unatafuta mupenzi,baadae mwezi wa nane(19.august,2011) ukatendwa akaja na lawama kwa wanaume humuhumu,leo october tu imeanza una ujauzito wa mwezi,angalia mama jery utaachwa tena.
 
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana

ni ushuhuda wa kweli
Kwangu kufunga ndoa,mimba through JF siyo Issue kubwa

Issue kubwa nataka kujua namna mlivyoanza hadi Kafka hapo ili na sisi tufuate

Mlianza kwa PM,au mmoja alipost thread ikamvutia mwenzake,kasha aka-PM mwenzake,mkapanga kukutana Mliman City,then mkaklubalina mkaenda kupima HIV,Mkagundua mkoa salama,mkakubalina kulana Uroda,ukapata mimba,mkapanga kuoana nk

Tunataka story kama hiyo,Naisubiri kwa hamu sana
 
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana

ni ushuhuda wa kweli

Hongera....nitumie kadi mara moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom