JF ni mambo yote nimepata mume hapa jamani nashukuru

niliona kwa tv ya tb joshua mtu alipata mke kwenye facebook kumbe ni jini lol sasa wote mnaotafuta wake/waume / bf /gf mnaanhalia vigezio gani jamin mi nataka kujua lol....huruma?tabia mnachunguzana saa ngapi?
majini yako kila mahali hamna sehemu salama duniani watu ni hao hao unaeza kumpata hata kanisani kumbe ni jini pia.namshukuru mungu sio jini ni malaika so special sweeeet.marvelous......
 
preta karibu sana

asante mwaya......Husninyo amenishinda.......
badala ya kuuliza kadi ya mchango....
hongera sana....kila siku nawaambia watu JF kuna wapenzi hawasikii...ona sasa......
 
Ulitumia vigezo gani kumchagua huyo...mbona tuliapply wengi tu na hatujajibiwa kitu, tulikuwa tunasubiri tuu interview!
 
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana

ni ushuhuda wa kweli
Hesabu za haraka...... Umejiunga JF tarehe15 juni 2011 ninaamini by mwezi wa saba ukaanza kuchati na mtu humu jamvini by mwezi wa nane mkakubaliana kupeana kampani na hapohapo mkaanza ku-duu bila kondom ambayo inaweza kupelekea uja uzito wa mwezi mmoja sasa assuming mimba iliingia baada ya wiki mbili tatu. Kweli dada yangu upo fasta
 
ulitumia vigezo gani kumchagua huyo...mbona tuliapply wengi tu na hatujajibiwa kitu, tulikuwa tunasubiri tuu interview!
nakukumbuka dr uliaply sema ndo ivo kumbuka ndoa mume ni mmoja ila na kwenye shindano mshindi huwa ni mmoja
ila usijali endelea humu wapo wengi utapata siku moja nakukubali sana sema ndo ivo nitakupa kadi ya harusi
 
asante mwaya......husninyo amenishinda.......
Badala ya kuuliza kadi ya mchango....
Hongera sana....kila siku nawaambia watu jf kuna wapenzi hawasikii...ona sasa......
wapo wengi tuu sema wengine vimeo
hatuitaji mchango preta
maombi tuu
 
Huyo jeri baba yake yuko wapi?

Kama ni mimba, mbona baba jeri alikutosa?

Kama atazaliwa wa kiume, umwite kakajambazi.
 
majini yako kila mahali hamna sehemu salama duniani watu ni hao hao unaeza kumpata hata kanisani kumbe ni jini pia.namshukuru mungu sio jini ni malaika so special sweeeet.marvelous......

ulifanyaje lol hebu nipe siri basi manake wengi tupotupo tuuuuuuu nieleze step 1 to last pleaseeeeeee ma j
 
Hongera sana mamito,kumbe inawezekana! Ngoja na mimi nijitafutie,kila la kheri mwayego usiache kunialika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom