JF Name yako ina maana gani?

Judgement, he he he.

Utajibeba, kijiti changu kikuzingue weye?

Umekuwa Bishanga? Huyu ndo hupagawa na mie kwa kila lifanyikalo.

Kama upo kinywaji basi ulabu uliyolabuka leo unakukataa!
Kama ni Msuba, kitakua kijiti cha Kyela tena kitakua kilivunwa kwenye shamba la Babu yake Mwakyembe.
Usikirudie
 
Last edited by a moderator:
Ulie zeeka na unakula pensheni safi sio kama baba yangu anaelipwa elfu hamsini na alipigana vita uganda.na sasa yuko kijojini hajui hata jf ni nini....hakikka ntakkuchezea mi luteni kijana ...ntakushika ndevu ka simba mzee but kijeshi salut. Kwako
mimi ni brigedia jeneral jwtz,chezeya huone
 
KAMAA jinaa langu am alwys real.....wat about u?namaanisha kuwaa real
 
Chow2009.jina langu linamanisha mpiga carate mashuhuri nchn china.

Hili jina sijui kama nimeliona kwenye sinema gani tena.

Kwa hiyo aliwahi kukupiga, au we ni mshabiki wake, au labda mwanafunzi wake.
 
Back
Top Bottom