JF Music Player

Fisadinumber1

Member
Feb 26, 2008
23
0
Naomba kuuliza ile player ya JF naweza kuipata wapi iliyokuwa na collection nzuri sana ya nyimbo za zamani? Asanteni.
 
nazani player limeisha betri maanake long time limepotea katika mazingira ya kutatanisha
 
Mods,

Hii sehemu ya muziki ilikwenda wapi? Please irudishe kwani ilikuwa inatuburudisha tulio wengi!!!

Asante kwa kusikia kilio chetu.

Tiba
 
Mwanakijiji, nilimtafuta Robot tokea 25th February lakini naona bado hajajibu. Pia nilimtumia mail before that week, lakini hakuijibu. Kwani wewe unafahamu kwanini imetolewa?
 
Hivi unapopeleka maombi ni lazima ujibiwe papo hapo. Watu wengine bwana hawapendi kusubiri lakini wao ni wakwanza kuweka wenzao viporo.
 
kwa kweli itapendeza sana kama itarudi. i pray for you wakuu wa JF. Mungu awatie nguvu muirudishe mapema

Glory to God
 
Da Judy, mi nafikiri music player inakula space sana na inaongeza latency na ndiyo maana wameitoa, sina uhakika ngoja tungoje watatujibuje wenyewe.
 
Hivi unapopeleka maombi ni lazima ujibiwe papo hapo. Watu wengine bwana hawapendi kusubiri lakini wao ni wakwanza kuweka wenzao viporo.

Ungesoma vizuri kwanza kabla ya kujibu - niliuliza since Feb, na nimekaa muda mrefu nikisubiri jibu. Hichi sio kitu kama kuomba tender inabidi usubiri muda mrefu, ni swala la kutufahamisha kwanini imetolewa.
 
kwa kweli itapendeza sana kama itarudi. i pray for you wakuu wa JF. Mungu awatie nguvu muirudishe mapema

Glory to God

Lets hope wameiona hii thread na wataijibu. Ile kitu ilikuwa safi sana hasa kama mtu uko abroad mbali na nyumbani, inasaidia kukumbushia mambo ya nyumbani
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom