Wanaotumia jf mobile naombeni mnifahamishe plz,je nanyi hampati mobile view? Hii problem imeanza around saa moja jioni.
Thx wakuu.
thx gurta,naipata ila inakuwa in pc view nami napenda mobile view. Pia hakuna option ya kurudisha kwenye mobile view.
si kuwa siipati,hapana. Naipata ila inakua kwenye pc view nami napendelea zaid mobile view.
Hao hawajakupa support, wamekupa msaada;;;they helped you. Orait, kama problem imeisha poa. Was just being naughty!sasa naipata,thank u guys for yo support.
Nenda kwenye setting, shuka chini hadi mwisho mwa page utapata option ya kukurudisha kwenye mobile edition.