Jf mnatufumbua macho hadi na siye wa vijijini,MUBARIKIWE!

COWARD

Member
Apr 23, 2012
28
2
Kuna mamilioni ya wa Tanzania kupata habari sahihi,kwa wakati sahihi ni ndoto.hili si kwamba ni kwa bahati mbaya,(hapana)ila ni mpango mkakati wa watu wachache walio wavivu wa kufikiri tuliowapa dhamana ya kutuongoza.akidhani kwamba kwa kubana fursa za wananchi kupata habari ndio salama yao ya kuendelea kutuburuza.lakini kutokana na teknlojia kwenda kinyume na mipango yao,anguko lao liko dahiri.Teknoljia hiyo ndiyo iliyo niwezesha na mimi kupata kuifahamu,kuiaijua na kuanza kupata habari muhimu kirahisi zaidi ya hapo awali pamoja na kwamba naishi kijijini ndanindani kabisa.jf shukrani zenu
 
Pia kuna watu wanapata habari, ila hawataki kuamini, hivyo kuamua kukashfu watoa habari. INFORMATION IS POWER!!
 
Back
Top Bottom