JF Member of The Year is...

Pear Bwana!
bado ni kanyuu comer , iz veri difikalti kuwataja bat i sinki.
1)nguli
2)pakajimmy
3).........

kwa mawaif to bii
1)carmel (hapa avatar ya carmel imetoa rushwa)
2)bht.
3)kale kadada kanakouza mitsubishi a.k.a jaza mwenyewe,pearl bwana!

wanaoboa.
1) kuna lizembe linapenda kujipa ulaji kwenye masredi yake(jina kapuni). aaaargh linaniboa. likiniboa zadi nitalitaja kwa herufi capital
 
bado ni kanyuu comer , iz veri difikalti kuwataja bat i sinki.
1)nguli
2)pakajimmy
3).........

kwa mawaif to bii
1)carmel (hapa avatar ya carmel imetoa rushwa)
2)bht.
3)kale kadada kanakouza mitsubishi a.k.a jaza mwenyewe

wanaoboa.
1) kuna lizembe linapenda kujipa ulaji kwenye masredi yake(jina kapuni). aaaargh linaniboa. likiniboa zadi nitalitaja kwa herufi capital

hahaaaa, huogopi waifu wako atakuchenjia hapo kwenye ready ni tishio lake lol!!!
 
Huu mwaka unaishia kuna watu wamenifurahisha sana kwa comment zao motomoto na sisiti kuwataja hapa na kama wewe una wako unaweza toa ila tutaangalia aliyetajwa zaidi na tutamtunuku JF MAN OF THE YEAR.

1. Chrispin
2. Kloroquin
3. Maxshimba
4. Bluray
5. Kibunango
6. Dark City
7. Katavi
8. Burn na Radical-mashairi yenu mazuri sana.
9. Masanilo
10. The boss- mutu ya vitabu mingi

Karibuni.
Thank God am not in the list!

Mwaka huu sikuwa active ki-viiile :)
 
SENKS Shishi,niunge mkono na mguu basi kumpigia kura Iribini.

Kwa kampeni hii, leo utakamata senski mpaka kiboksi kiishe. Kikiisha naenda kuchomoa nilizomgongea bht nahamishia kwako mchumba. btw vipi kliniki, mambo mazuri?
 
Thank God am not in the list!

Mwaka huu sikuwa active ki-viiile :)


Mkuu wewe una yako special inakuja tunasubiri kwanza ujio wa JF mpya mwakani, nilitaka kumweka FARIDA ila nikaogopa respond ya ban unajua tena
icon10.gif
 
Back
Top Bottom