JF member KONGOSHO

kongosho huku chit chat ndicho mnachofanya? Eeeh bibie maana jana uliniambia ni kuzuri,au nami nianze kuandika kongosho I Love Uuuuu! Limoyo langu limekudondokea wajameni.

yaani mnazidi nichanganya sasa mbona unamuita kongosho bibie, inamana mwanamke? KINDA CONFUSING
 
andika only if it's true
duh, leo kimwana kaniweka kati
imebidi niwe gentleman nitulie

lakini nshapendwa tena mie na binti hapa.

kongosho huku chit chat ndicho mnachofanya? Eeeh bibie maana jana uliniambia ni kuzuri,au nami nianze kuandika kongosho I Love Uuuuu! Limoyo langu limekudondokea wajameni.
 
yaani mnazidi nichanganya sasa mbona unamuita kongosho bibie, inamana mwanamke? KINDA CONFUSING

ya ni mtoto wa kisukuma,very cute,imagine msukuma aliye mweupe. Sema ni haya masomo yetu magumu ya kusoma vitabu vya nelcon ya a level na boarding schools zimemwaribu
 
usijali maneno yao
baadhi hapa ni watani wangu
nikiwaalika harusini wanakuja wanalia na migolole myeusi
nikiwaalika msibani wanakuja na matarumbeta na high heels

wameamua kunifanya babu yao
itabidi nianze kujiia
babu KGH
yaani mnazidi nichanganya sasa mbona unamuita kongosho bibie, inamana mwanamke? KINDA CONFUSING
 
he he he
acha kumstua binti wa watu

kilahunja, ujue mwenzio nimemaliza shule enzi za middle shool
usije shangaa, mindevu ya kiutu uzima
ila najitahidi kuwa updated.

ya ni mtoto wa kisukuma,very cute,imagine msukuma aliye mweupe. Sema ni haya masomo yetu magumu ya kusoma vitabu vya nelcon ya a level na boarding schools zimemwaribu
 
he he he
acha kumstua binti wa watu

kilahunja, ujue mwenzio nimemaliza shule enzi za middle shool
usije shangaa, mindevu ya kiutu uzima
ila najitahidi kuwa updated.

middle school unaijua wewe? Naamini huji hata ilikuwa inaanzia darasa la ngapi na kumalizika la ngapi. Acha fix kama upo pale kwenye mdegree
 
Oh enzi za midle xul, mi ndo wapendaga hao hao..u hit the nail on the head and thanx 4 barking the right tree(kongosho)
 
he he he
sema naogopa kusema streit
asije kuwa na umri wa binti yangu

siku hizi humu kuna watu wamemaliza fomu foo 2010
ndo kinanitisha hasa

middle school unaijua wewe? Naamini huji hata ilikuwa inaanzia darasa la ngapi na kumalizika la ngapi. Acha fix kama upo pale kwenye mdegree
 
he he he
sema naogopa kusema streit
asije kuwa na umri wa binti yangu

siku hizi humu kuna watu wamemaliza fomu foo 2010
ndo kinanitisha hasa

umeenda mbali wapo waliomaliza 2011 na wengine bado wako shule form2. Ila kuna vibabu balaa,kuna mmoja nilikuta anaulizia mwenzie aliyemaliza naye f6 71
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom