JF member KONGOSHO

basically, jinsi ni kisehemu kidogo sana cha mwili
ukipima ratio ya mwili mzima na kijinsi utakuta mwili ni mkubwa zaidi
iwe kwa mass au volume

ndo maana sikipi uzito sana
Jamani nimevumilia nimeshindwa, naomba mnisaidie kuuliza KONGOSHO ni male au female, simuelewi..nimejaribu kufatilia post zake but ana badilika kama kinyonga..
 
Mmh kama female nisha umbuka, maana nahisi ku fall in love nae mweh..lol

usijali.
Muswada uko mbioni kupelekwa kwenye jichombo la kutunga masheria ili yarekebishwe. Everything will be okay, as far as agreement between you two is a concern.
 
acha kubadili meneno
nina tindikali
tena nina con sulphuric acid combusted with sodium peroxide under the presence of water, hii ni exothemal reaction

Hehehe . . .mwenyewe kasema UMUWEKE wazi sio UMEWEKEE bana.
 
pole kilahunja, sikuhisi kama wewe ni ke, next time I will be careful.
 
nitafurah if u do remembr i once PM u to tel u I LUV U.

kongosho huku chit chat ndicho mnachofanya? Eeeh bibie maana jana uliniambia ni kuzuri,au nami nianze kuandika kongosho I Love Uuuuu! Limoyo langu limekudondokea wajameni.
 
acha kubadili meneno
nina tindikali
tena nina con sulphuric acid combusted with sodium peroxide under the presence of water, hii ni exothemal reaction

duh hii ni pcb au pcm au cbn au cbg au cba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom