sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Ni kweli BADILI TABIA, ila hujamchagulia wa kwenda nae...BAGAH ndo anafaa
Last edited by a moderator:
Ni kweli BADILI TABIA, ila hujamchagulia wa kwenda nae...BAGAH ndo anafaa
tatizo lake.. klorokwini..atapiga sana makofi..katika JUMBA itasababisha..BIG amatoe mapema@FirstLady1
BAGAH ndo anafaa
bebi...nitaendaje bila wewe au TANMO...?..kwani Cantalisia ana ile.....
"Mitanzania ina wivu wa kike" - B.W Mkapa..sasa bebii. TANMO anaingiaje hapo?..nimeamini kweli mr TANMO unamtaka..na usikute kisha nimegea kitumbua changuu..mie nataka uende na Cantalisia..nina maana yangu
Mh, sitaki kubemendwa...Kongosho aambatane na tanmo.
itakua vizuri nikienda mimi na yule nanii...
Senksi mke wa rais FirstLady1 na Miss JF Chit Chat 2012 queenkami , nikishinda hili zali pale nikiambiwa nihutubie nitataja majina yenu kuwashkuru. Acha nikafue jinzi langu kabisa just in caseklorokwini tukimpeleka lazima atuletee ushindi
klorokwini anaelekea kuongoza!...nadhani tumpeleke huyu...achague sasa ataambatana na nani...
Dogo unadhani kwa kauli yako ntaenda na nani?????...kama ilivo kwa mwaka huu:unakwenda na mtu unaempenda...