JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Ni kitu nzuri sana hii.
Kuna watu humu majamvini ambao wanaelimisha jamii yetu, na kuifanya JF ipate au ku'maintain mwonekano ilio nao.
Itakuwa ni heshima sana kama watatambuliwa na kundi zima. Hii ni namna ya motivation kwao , na pia kwa wengine inawafanya watamani kufikia hatu a hiyo, na kwa mchakato huo mzima JF inakuwa ni mahala salama sana kuwepo na kubrowse.
Mimi nitapropose soon, nilitaka nianze na literature hii kwanza!
 
Kabanakabana usimsikilize huyu Nyani Ngabu. Unajua mimi ni mtu na heshima zangu. Hata JK, Obama, Mandela, Bill gates, Pope John nk ni jamaa zangu wa karibu na wananiheshimu. Nitamzikaje laki moja bana anataka kunihadhirisha tu?

Can you imagine rafiki yangu Queen Elizabeth au Mama Salma kikwete na Dr. Slaa wakisikia watanifikiriaje?

Ndo maana Mzee Sabodo na Mengi waliniambia NN si mtu Mzuri.

JF is never boring by TB job true true yaani mkuu unasound like predeshee fulani hivi..
 
Sasa unatoa madai yasiyo na ukweli wowote. Sikutumia ID ingine kujipigia kura. Nilishinda kihalali kabisa. Ukiendelea kunipaka matope nitakushitaki.

Kuhusu pesa, mimi Mubyazi hakunipa risiti. Sasa sijui alizinywea bia au vipi. Ngoja nitamtafuta nimdai risiti.

NN hayo madai wadau waliyafikisha Tume (JEC) na mimi kama Mwenyekigonda niliona hayana uzito sana. Anyway sitaki kuongea Mengi kwa kuwa Nilikutangaza Mshindi halali na bahati Mwaka jana umekuwa mfano wa kuigwa (No BAN).

Mtafute bana akupe risiti. Akibisha mlete hapa atueleze pesa kapeleka wapi.
 
Superman na NN, ACHANENI NA HII MANENO, yaliyopita si ndwele, Mubyazi anaonekana kuwa ndiye mwenye Neno na tuhuma hizi zote, lets get back to the pertinent matter meeeen!
 
Aisee wewe ni mkali, yaani unakumbushwa deni, unapanguwa halafu unampamba kidogo then unampiga mziga kabisa!! teeh teteteteh!!

Mkuu sina deni na mtu kweli. NN anajua. Jamaa ananishushia heshima mbele ya jamii ya JF bila sababu.

Ni muhimu pia achangie. Jamaa unajua yuko kwa Obama na sasa kule ni $$$$ tu.
 
nakumbuka kama nadai elfu hamsini.... kweli siku zimeenda, nimekua mzee sasa, ni muda wa kuweka bakora chini na kurudi kufukuzia alawanzi,

MTM unajua jina lako kubwa hapa JF, angalia NN asije akakupoteza. Sasa unamdai nani mkuu maana mimi wala sikumbuki kama umewahi kushinda hili shindano.

Any way, propose one name. Afu, vipi sponsorship?
 
Kabanakabana usimsikilize huyu Nyani Ngabu. Unajua mimi ni mtu na heshima zangu. Hata JK, Obama, Mandela, Bill gates, Pope John nk ni jamaa zangu wa karibu na wananiheshimu. Nitamzikaje laki moja bana anataka kunihadhirisha tu?

Can you imagine rafiki yangu Queen Elizabeth au Mama Salma kikwete na Dr. Slaa wakisikia watanifikiriaje?

Ndo maana Mzee Sabodo na Mengi waliniambia NN si mtu Mzuri.

mmh mkuu wewe ni noma,profile lako linauza,,naomba namba ya mandela basi,niPM
 
Huyu kuthibitisha hizi tuhuma si nikuweka tu mabandiko yake mawili basi halafu utabaki unacheka mwenyewe.

Mmmh, yangu masikio . . . Ni wale SHEMALES ambao Wana Gender Mbili naturally au wale Wanaume wanaojibadili vifua na mwonekano?
 
Ni kitu nzuri sana hii.
Kuna watu humu majamvini ambao wanaelimisha jamii yetu, na kuifanya JF ipate au ku'maintain mwonekano ilio nao.
Itakuwa ni heshima sana kama watatambuliwa na kundi zima. Hii ni namna ya motivation kwao , na pia kwa wengine inawafanya watamani kufikia hatu a hiyo, na kwa mchakato huo mzima JF inakuwa ni mahala salama sana kuwepo na kubrowse.
Mimi nitapropose soon, nilitaka nianze na literature hii kwanza!

Mkuu Wangu na Kiongozi wangu

Siku zote najua ukiwepo haliharibiki jambo. Kama zilivyo nguzo kumi za Kilimo Kwanza, wewe ni moja ya nguzo za JF. Of course pamoja na mimi. Hili hata NN analijua.

Tunasubiri nomination yako.

NB: Mkuu hiyo laptop umeshaipigia kelele saaana iache kuchakachua, I hope sasa iko poa. In case ukipenda kubadili Avatar, nitafurahi ukinishirikisha. lol.

Pamoja sana Mkuu.
 
JF is never boring by TB job true true yaani mkuu unasound like predeshee fulani hivi..

Mkuu "Tulihuzunika Pamoja, na Tutafurahi Pamoja" EL, Monduli.

Pamoja sana, JF ni yetu na wote tufurahi pamoja.

Respect sana Mkuu!
 
Superman na NN, ACHANENI NA HII MANENO, yaliyopita si ndwele, Mubyazi anaonekana kuwa ndiye mwenye Neno na tuhuma hizi zote, lets get back to the pertinent matter meeeen!

Pamoja sana Kiongozi wangu:

superman-muhammad-ali-handshake.jpg
 
Mkuu Wangu na Kiongozi wangu

Siku zote najua ukiwepo haliharibiki jambo. Kama zilivyo nguzo kumi za Kilimo Kwanza, wewe ni moja ya nguzo za JF. Of course pamoja na mimi. Hili hata NN analijua.

Tunasubiri nomination yako.

NB: Mkuu hiyo laptop umeshaipigia kelele saaana iache kuchakachua, I hope sasa iko poa. In case ukipenda kubadili Avatar, nitafurahi ukinishirikisha. lol.

Pamoja sana Mkuu.
Mkuu,
Sina wazo la kubadilisha hii avatar katika siku za karibuni...Naamini kuna siku ambapo utaanzisha shindano la kuchagua avatar ambayo imeweza kuwepo majamvini kwa siku nyingi zaidi bila kubadilishwa badilishwa, na huenda nikaibuka mshindi...lol!
Niko kwenye hatua za mwisho za mchakato binafsi wa kuwasilisha mshindani wangu.
Kawaida watu hawawezi kuanza ghafla kutaja majina, lazima kwanza waanze na jokes, lakini naamini hatimaye watapatikana washindani wetu.
 
Aisee Mubyazi hebu njoo ukate mzizi wa fitna! Alikupa hela zangu kama anavyodai hapa?

Mimi huyu Superman simwamini. Amekaa kitapeli tapeli.

Wewe umeona JF Man and Woman of the Year 2011 wanatafutwa tarehe 1 March 2012?

Hii kitu haijakaa sawa hii.
 
Kabanakabana usimsikilize huyu Nyani Ngabu. Unajua mimi ni mtu na heshima zangu. Hata JK, Obama, Mandela, Bill gates, Pope John nk ni jamaa zangu wa karibu na wananiheshimu. Nitamzikaje laki moja bana anataka kunihadhirisha tu?

Can you imagine rafiki yangu Queen Elizabeth au Mama Salma kikwete na Dr. Slaa wakisikia watanifikiriaje?

Ndo maana Mzee Sabodo na Mengi waliniambia NN si mtu Mzuri.

Umetisha mkuu... I Salute u.
 
Mimi ningeanza na wadada wa tatu walionikuna 2011

(1) kongosho
(2) smile
(3) lizzy
 
Back
Top Bottom