JF Maintenance: Feb 2010

Lakini unge specify kuwa ni kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi,
Mkuu ilikuwa ni masaa mawili kuanzia saa 8 mpaka saa 10 kwa muda wa Tanzania. Lakini baada ya kuangalia tatizo kwa karibu tumegundua linaweza kurekebika haraka, tuka-fix kitu ambacho kilikuwa kinasumbuka kwa dakika kama 5 hivi na kisha vingine vinaweza kuendelea kurekebishika wakati mnaendelea na discussions.

Ahsante kwa uelewa
 
Kuna kitu kipya mtaki-experience ndani ya JF... Itaanza kuwa ina-load haraka zaidi ya kawaida!
 
thx ngoja nikagombane na watoto sasa wale ambao hawajafanya home work(s) zao!
 
Mkuu ilikuwa ni masaa mawili kuanzia saa 8 mpaka saa 10 kwa muda wa Tanzania. Lakini baada ya kuangalia tatizo kwa karibu tumegundua linaweza kurekebika haraka, tuka-fix kitu ambacho kilikuwa kinasumbuka kwa dakika kama 5 hivi na kisha vingine vinaweza kuendelea kurekebishika wakati mnaendelea na discussions.

Ahsante kwa uelewa
Naomba nikuulize kidogo, japo samahani mkuu, hivi kazi ngumu hii, wewe unapata faida gani kutokana na discusion zetu? maana naelewa wewe una mahitaji binafsi na inawezekana kuna wanaokutegemea, lakini unalazimika kukaa na kutuongoza sisi bila kwenda kutafuta njuluku?
 
Uzalendo unamuongoza kutenda haya...............ila kumbuka quid pro co , usije jikuta wewe ndio inakughalimu kuliko muda wa Mexence
 
Mkuu ilikuwa ni masaa mawili kuanzia saa 8 mpaka saa 10 kwa muda wa Tanzania. Lakini baada ya kuangalia tatizo kwa karibu tumegundua linaweza kurekebika haraka, tuka-fix kitu ambacho kilikuwa kinasumbuka kwa dakika kama 5 hivi na kisha vingine vinaweza kuendelea kurekebishika wakati mnaendelea na discussions.

Ahsante kwa uelewa

Ili kuwaponya walioathirika ifungeni JF kwa angalau miezi mitatu.
 
naomba kazi JF
viatu vya max ni vikubwa ambavyo inahitaji dedication kweli kweli kuweka mguu ndani. Jisni alivyo bize na anavyoweza kufanya kazi JF kwangu ni mfano bora wa maisha wa kuigwa.

lakini nakupa heko kama ukiteuliwa kuwa modereta wetu wa siku za usoni.
 
Customer care imetulia, wengine hata taarifa hatukuwa nayo si unajua signing in time and pace tunatofautiana? hope now things are fine that is why we are doing now!! Long live JF.
 
Nashindwa upload picha Jamii Fotos

Any help?
Masanio; ulikuwa una-attach file kubwa sana; over 20MB. Napunguza ukubwa wa file hilo kisha nakutumia kwenye email yako.

Wakuu; tuwieni radhi kwa usumbufu uliojitokeza. Ni bora utokee mara moja kisha usababishe ufanisi zaidi. Naamini mtaona performance zaidi.

Meanwhile, kama tulivyosema awali, bado tunapokea maoni yenu juu ya nini kiboreshwe JF. Kuna features mpya zinakuja; members (registered) wataweza kuwa wana-chat mmoja kwa mwingine (kama ilivyo kwenye facebook), bado tunalifanyia kazi. Tunatarajia kuzindua interface mpya ya JF mnamo March Mosi.

Aidha; mwonekano mpya wa JF utaweza kuwarahisishia wengi (hasa waliojisajili) kuweza kupata options za kufanya mengi. Blogs zitawekwa, kwa wale waliokuwa wanatumia blogspot tunaweza kuwasaidia kuhamisha blogs zao kuja kwetu, tunatengeneza daraja (bridge) la kuvusha blogs zao.

Kutokana na kazi tuliyokuwa tunafanya ndio maana kuna downtime inatokea; hii haitachukua zaidi ya wiki mbili, tupo kwenye hatua za mwishomwisho.

Tunawashukuru kwa uvumilivu wenu na ushirikiano wenu
 
BTW ni Masanilo

Natanguliza shukrani, Nilidhani ukiweka kule picha automatically inapunguzwa!
 
Mwambie Kikojozi aka Masanilo asilete picha kule kwenye sports kama ni hizo usimsaidie teh teh Khe khe khe khe mambo ya Bridge wapi na wapi bana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom