JF live Chat is up now!

Imebidi ning'oe batan ya Caps Lock kwenye kiibodi yangu, no chance for accidental CAPPING....jamaa kazuia kutumia CAPS.....

Aisee Roya unatafuta BAN kwenye chatruum...watch your capping!
 
Mkuu kwa sisi tulioishia shule za kata, hapo kwenye red umetuachia pale baraza la mitihani. (I hope sitakula BAN hapo)

Na hii kutufuatilia mpaka huku kwenye ruum, hamtaki wanachama wenu tuoane japo kwa muda? Sasa kwanini mfuatilie kutongozana kwetu?

Anyway, nasikitika kila nikijaribu naambulia ...NOT CONNECTED.....sijui mods hamtaki babu nikagulie kule au ni ushamba wangu....Naendelea kujaribu lakini, mpaka kieleweke (Dont BAN me kwenye chatruum pliiiiiz)


Babu download Java kwenye PC yako.
 
CAPS is strictly prohibited in chat ruum....you have been notified!


We mshikiz....JAVA imejaa tele hapa lakini holaaaaaaaaaaaa!
Imwagie keyboard matone ya VALUU ooppss kumbe wamezuia CAPS dah nimeishasahau
 
Imebidi ning'oe batan ya Caps Lock kwenye kiibodi yangu, no chance for accidental CAPPING....jamaa kazuia kutumia CAPS.....
Mi sioni connection ya CAPs na BAN, nipe muongozo muheshimiwa kabla cjala ban!
 
Muache ahangahike kwanza yeye kazoea ukaguzi tu l.o.l

Hebu niambie hatua inayofata baada ya hapa......
attachment.php
 

Attachments

  • New Picture (4).jpg
    New Picture (4).jpg
    100.2 KB · Views: 20
Hapo chacha.. Ivi unaweza Chat na member yoyote hata kama hujamuadd? Nipe muongozo nipo Via mobile!
Kaka bado nacheki hapa, maana kwanza haungii hivi hivi tu lazima kwanza udownload JAVA kwanza then mengineyo yanafuata
 
Aisee mwalimu wangu Gaijin keshajua?

Naomba mumwambieni mkimwona. Hatimaye kilio chetu kimesikilizwa kabla hatujaandamana kama Cairo.

Maxence chagua mjukuu wangu mmoja umpendaye nikukabidhi:clap2::clap2::clap2:

Nimeiona lakini hii habari ya kuwa unaweza kutumia jina lolote haijanikalia sawa. Wanafunzi wangu wanaweza kudanganywa, mtu akaijiita Gaijin kisha akaniharibia wanafunzi.

Hapo mkuu naona pafanyiwe marekebisho fasta.
 
Back
Top Bottom