JF ladies mnaweza?

Ishu ya condoms
sio watu hawapendi kutumia

ishu ni kuwa baada ya pombe watu husahau

huku condoms zipo mifukoni mwao.....

Ishu ni pombe

Pointi ya msingi sana hii mkuu. Ukiwa bwi kondom inakuwa ndooogo, inegligible kabisa
 
Ishu ya condoms
sio watu hawapendi kutumia

ishu ni kuwa baada ya pombe watu husahau

huku condoms zipo mifukoni mwao.....

Ishu ni pombe

I agree with you!

Issue sio kuwa na condom,

Issue ni matumizi yake na hasa katika mazingira ya ulevi.

Ki mahesabu inaaminika kuwa anae drive the overall sex interaction ni mwanaume

Hivyo mwenye kuamua whether to put on condom or not ni mwanaume, very few women who dare to make sure that their partner they have plugged-in condom.

Ulevi noma!!
 
unaweza kumuwekea na asizitumie kikubwa ni akili kichwani kwake akijua natakiwa kutumia kinga atumie akiona hawezi sawa 2 kwani naye ni mtu mzima anaakili zake afanye anavyotaka kwa akili zake na ujinga wake kama hajui kama kuna malazi basi ata ukimwekea kinga atajua ni za kazi gani:A S-rose:
 
Sasa mwanamke akikufungia hivyo viroba vya mipira, lazima ujiulize kuwa "anakuamini au hakuamini" then ukikubaliana na hali hiyo vipi mwanamke anaposafiri? Na unapomuacha ukisafiri nini huendelea?
Mi hiyo siipendi Labda kama anafungishiwa ili apunguze uwezekano wakuzaa watoto nje ya ndoa. maana VVU DAWA YAKE NI KUACHA UASHERATI HAUZUILIKI HATA KWA CONDOM ZA BATI.
 
Siku namfungashia namwambia 10pkt zako na 10pkt za kwangu akirudi tunafunga mahesabu:dance:
 
Mimi kama mwanaume,mambo mengine kama mtu unajua thamani yako na ya mkeo,pamoja na utu wako na namna unavyomjua Mungu huwezi kufanya ujinga huo,huyo mkeo atakuwa na thamani gani kwako?Umemuoa wa nini?Na pia utakua na tofauti gani na mbuzi?

Tena ni bora ufungashiwe Biblia au Quraan
 
Wallaaaah ntakua namfungia box kibao afu naziwekea alama pakti zote, ole wake atumie na ole wake asitumie ndo atajibu sasa.:hatari:
 
Wallaaaah ntakua namfungia box kibao afu naziwekea alama pakti zote, ole wake atumie na ole wake asitumie ndo atajibu sasa.:hatari:

hahahahaha! Usinichekeshe. Kwahiyo atumie tabu asipotumia nayo tabu.
 
Hiyo ni kali, kweli nimeamini wanadamu wote hatufanani maana mi suwezi kufanya hivyo maana sitakuwa na amani uku nyumbani.
 
hahahahaha! Usinichekeshe. Kwahiyo atumie tabu asipotumia nayo tabu.

We acha tu, watu wanasema tu, hebu kuta hata kibox kimoja afu ufungue ndani ukute katumia pact moja mbili zimebaki kama utalala hee hee hee, ndo unalianzisha la kuchitiwa hapohapo. Duh bora tu ajinunulie mwenyewe, kama kakaangu sawa naweza muwekea kama tunakaanae lakini mpezi ntakua namuimbia kila siku wimbo wa kujilinda na kujichunga hata kama amelewa vipi awe mwangalifu tu.
 
Nadhani ili azitumie ili bila kusababisha madhara bora azivae machoni ajikinge na tamaa kwa wanawake atakaowaona alafu itamsaidia kupunguza ajali.

babu sasa akivaa machoni ataendeshaje hilo gari! Dah!
Hivyo vidude vingekuwa vinaweza kuchomolewa na kurudisha tungekuwa tunavichomoa mkirudi safari tunawapachikia tena. Hiyo ingesaidia.
 
We acha tu, watu wanasema tu, hebu kuta hata kibox kimoja afu ufungue ndani ukute katumia pact moja mbili zimebaki kama utalala hee hee hee, ndo unalianzisha la kuchitiwa hapohapo. Duh bora tu ajinunulie mwenyewe, kama kakaangu sawa naweza muwekea kama tunakaanae lakini mpezi ntakua namuimbia kila siku wimbo wa kujilinda na kujichunga hata kama amelewa vipi awe mwangalifu tu.

ni rahisi kwa kuzungumza tu ila kiutendaji....mmh!
Kwakweli bora ajinunulie mwenyewe akirudi nidhamu iwepo kama kawa.
 
Back
Top Bottom