JF kwenye Tapatalk ya iphone 3gs haifunguki

Fofader

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
860
293
Wakuu nisaidieni kwa mwenye maujanja. Nilikuwa natumia tapatalk kufungulia JF. Ghafla haiwezekani na inaleta msg forum inrestrict au plugin haifanyi kazi. Iphone yangu ni 3gs.
 
Nimereinstall lakini bado mambo ni vilevile. I guess I wiil have to follow the other advice. Ila mazoea yana tabu!
 
Nimekuwa nikituia Tapatalk kwa muda mrefu, lakini siku hizi za karibuni haifunguki. Nime install upya lakini sipati JF. Hata hivyo naweza kusoma forums zingine. Matatizo yakpo hapa JF. Naomba webmaster arekebishe hili.
 
Wakuu nisaidieni kwa mwenye maujanja. Nilikuwa natumia tapatalk kufungulia JF. Ghafla haiwezekani na inaleta msg forum inrestrict au plugin haifanyi kazi. Iphone yangu ni 3gs.

Tumelifanyi kazi. Jaribu tena.
 
Tumelifanyi kazi. Jaribu tena.

Mkuu Mike McKee, mie Natumia SAMSUNG Galaxy, GT-I9300 yenye Tapatalk 4 Beta.
Siwezi Kufungua JF Kwa hii application, kuna kitu chochote natakiwa Kufanya.
Please assist
 
Last edited by a moderator:
Nimekuwa nikituia Tapatalk kwa muda mrefu, lakini siku hizi za karibuni haifunguki. Nime install upya lakini sipati JF. Hata hivyo naweza kusoma forums zingine. Matatizo yakpo hapa JF. Naomba webmaster arekebishe hili.
Mkuu Jana wakati na join jf kupitia Opera Google wakanilazimisha ni install Tapatalk ya Android ili niitumie kwa kuingia JF...

Lakini kila nikijaribu kutafuta formu ya JF ndani ya Tapatalk siipati.....msaada tafadhali mkuu jinsi ya kuitumia.!!
 
Mkuu idawa nadhani JF walijiondoa tapatalk baada ya kutengeneza app yao wenyewe kwa vile tapaltalk inahitaji kulipiwa. Kwa sasa nangojea kwa hamu sana ili watengeneze app ya JF ya windows phone 8.

cc Mike McKee
 
Last edited by a moderator:
Mkuu idawa nadhani JF walijiondoa tapatalk baada ya kutengeneza app yao wenyewe kwa vile tapaltalk inahitaji kulipiwa. Kwa sasa nangojea kwa hamu sana ili watengeneze app ya JF ya windows phone 8.

cc Mike McKee

Mkuu nashkuru kwa kutukumbuka sisi wa WP. Tunawaomba Sana mods kuhusu swala la kupatikana Tapatalk na vilevile kuweka apps ya Jamii forums WP store....
 
Last edited by a moderator:
Haipatika sku hizi cjui kwa nini!

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom