JF kuna wenzetu wanawaza kwa Kiinglish

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,332
Akikasirika ndio utaona anavyotukana kwa kiinglysh.
Mtu akinitukana kwa makolokocho ambayo siyaelewi wala huwa siumii.
Ila yale matusi ya darasa la pili B kichwa kama boga huwa yananiuma sana.
 
afu kuna watu huwa wanaota kwa kidhungu! buji, njoo nikupe tuisheni japo broken
 
Akikasirika ndio utaona anavyotukana kwa kiinglysh.<br />
Mtu akinitukana kwa makolokocho ambayo siyaelewi wala huwa siumii.<br />
Ila yale matusi ya darasa la pili B kichwa kama boga huwa yananiuma sana.
<br />
<br />
Unautani na NN na FF
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom