Jf kukutanisha wanaotafuta wenzi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
Jamii forums sasa imetanuka sana.
Ina wanachama wengi sana na wale wasio wanachama kwa wingi wamekuwa wakiitembelea tovuti yetu hii iliyotukuka.
Wazo langu ni hili, hapa naona kuna wengi wamekuwa wakisema natafuta mchumba wa kuoa, wengine wamekuwa wakisema wanataka kuolewa na wengine wanatafuta marafiki.
Je kuna ubaya gani ff tukifungua jukwaa la wanaosaka wachumba na marafiki?
Mi nafikiri tutakata kiu ya walio wengi na tutaiingiza jamii forum kwenye maisha ya ndoa takatifu ya watanzania wenzetu ambao watakutana humu jamvini na kuoana kwa ndoa takatifu.
 
Senior Bachelors bana!....lol...!Mnanifurahisha sana..Huko mitaani kwenu hakuna warembo?...Anyway huenda haja yako ni kupata wanaochat hapa. .Lakini kimsingi i support your request, you never know!
 
Sishauri humu ndani kukutanisha watu, ikawa paukw pakawa. Watamegana then waachana wakuone wewe uliyewakutanisha mchawi wao.

Anyway, ni wazo ngoja tusikilize wengine wanasemaje. All the best
 
Jamii forums sasa imetanuka sana.
Ina wanachama wengi sana na wale wasio wanachama kwa wingi wamekuwa wakiitembelea tovuti yetu hii iliyotukuka.
Wazo langu ni hili, hapa naona kuna wengi wamekuwa wakisema natafuta mchumba wa kuoa, wengine wamekuwa wakisema wanataka kuolewa na wengine wanatafuta marafiki.
Je kuna ubaya gani ff tukifungua jukwaa la wanaosaka wachumba na marafiki?
Mi nafikiri tutakata kiu ya walio wengi na tutaiingiza jamii forum kwenye maisha ya ndoa takatifu ya watanzania wenzetu ambao watakutana humu jamvini na kuoana kwa ndoa takatifu.

Nafikiri tuongeze na KAMPENI ZA UPIMAJI VVU kwa watakaokutanika
 
Back
Top Bottom