JF Kiboko!

Ukiingia jf sio lazma uchangie kuburudika. Peruz 2 mwanzo mwisho mwenyewe utacheka utannuna utashangaa utasikitika na mwisho utakubali kua jf kiboko! Ngoja nikaendelee kuperuz.
Vipi ushapata mchumba?
 
kiboko unamaanisha fimbo?
Kiboko unamaanisha mnyama?
Kiboko unamaanisha ni mwisho wa maneno?

Bora asiwe kiboko mnyama maana namwogopa sana.
 
Mie mwenzenu JF ni Stress Reliever wangu! Kuna nyakati huwa naamua tu ku-log in ili niburudike na comments za wanajamvini!
 
kiboko unamaanisha fimbo?
Kiboko unamaanisha mnyama?
Kiboko unamaanisha ni mwisho wa maneno?

Bora asiwe kiboko mnyama maana namwogopa sana.
kiboko anamaanisha kongosho...
wamwogopea nini kiboko?
 
Nilivyosema kiboko mnyama sikutaka fafanua zaidi

kuna kiboko mnyama wa porini, hana madhara sana

kuna kiboko mnyama wa nyumbani, huyu huwa mtata sana na ana mauzi makubwa ya kuua taratibu

kiboko anamaanisha kongosho...
wamwogopea nini kiboko?
 
jf kweli kiboko huna haja ya kufungua thread mhusika ukawepo. Utakuta wapendwa wamekuwakilusha. Lol
 
Nilivyosema kiboko mnyama sikutaka fafanua zaidi

kuna kiboko mnyama wa porini, hana madhara sana

kuna kiboko mnyama wa nyumbani, huyu huwa mtata sana na ana mauzi makubwa ya kuua taratibu

hicho kiboko mbona ndo bora kuliko vyoote. Chagua wanaojua wenye viboko vya ukwee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom