Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,031
- Thread starter
- #41
Nashukuru kwa hili maana nimetumia zaidi ya saa moja kupitia Website na majina yote kuanzia founding member na Members wengine lakini haijanipa muamko hata chembe. Haijanishawishi nijiunge [Vigezo sio tija].
Sasa sijui kama katika Mtandao kama TPN vita za wanaJF zitakubalika... Lazima watu kama Mizozo na Jmushi watatimuliwa tu...
"Even a stopped watch is right twice a day" - LOL . . . .
Mzalendo Mzozo wa Mizozo nashukuru kwa changamoto yako. Inawezekana kuiona TPN katika mtazamo wa saa iliyosimama . . . LOL.
Anyway, sijui kama unaweza kukipima chama kwa maandishi au vitendo. Tutajitahidi kuiboresha hiyo tovuti. Lakini nikuombe msaada wa kama hutajali:
Tusaidie kujua ni namna gani TPN inaweza kukushawishi kupitia katika website. Naahidi tutalifanyia kazi.
Kuhusu Critics, nadhani hao ndiyo wanatakiwa hasa katika kuboresha. TPN ni taasisi na haina mizengwe ya namna yoyote. Kwa hiyo nikuombe ndugu yangu Mizozo na JMushi mje tu TPN. Tayari wako wengi wa namna hiyo.