Jf karibuni pati ya mwaka mpya home

Kumbe wapenda ugali eeeh? Umeuliza swala la msingi saana kuhusu nyamga aisee! lol
Napenda ugali kwa sana tuu!

Na nyama choma, prefebly mbuzi lol!

Baada ya hapo a couple of shots ie Henny, nice music, good "people around"...Aah, burdaani!lol
 
Jmushi inabdi one of these days nikukaribishe uje ule nyama choma (with special recipe) na Ugali.... The good thing it seems we have the same taste in Music, utapenda selection yangu na ofcoz "good people would not miss" lol
 
Aaaaa,mwache home jamaa njoo alone.

hahahaha! Huniruhusu niende kokote bila escort lakini sio mtoko.... You know I will have to look casually good, na ikiwa hivo lazima ani acompany tu!
 
Na ww ulimwambia wa nini huyo jamaa,si unge mwambia unaenda kulala msibani.
 
Jmushi inabdi one of these days nikukaribishe uje ule nyama choma (with special recipe) na Ugali.... The good thing it seems we have the same taste in Music, utapenda selection yangu na ofcoz "good people would not miss" lol
Please Asha Dii! I cant wait lol!

New years' ama after? Pliz pliz Asha dii! I like ugali with execllent nyama choma, coupled with some crazy kachmbali and chachandu, good people, nice music just like your tatse, and some henny, if naw, then juisi ya embe?lol

Whatever it is iam down for it! lol
 
Did you say, have same taste? :shock:
I didn't say anything.

Jmushi inabdi one of these days nikukaribishe uje ule nyama choma (with special recipe) na Ugali.... The good thing it seems we have the same taste in Music, utapenda selection yangu na ofcoz "good people would not miss" lol
 
Na ww ulimwambia wa nini huyo jamaa,si unge mwambia unaenda kulala msibani.

Sikuona sababu ya kudanganya.... Hivi naja kufanya nini mpaka nijifanye ni msiba.... Khaaa! :lol:
 
Ntakusimulia siku nyingine
Ila Unapanda ndege, basi, treni tukutuku au kiberenge, pikipiki, afu unamalizia na punda
Ndo unafika napoishi

Sio mbali sana
Ila miundombinu imatufanya kisiwa
He he hee!

Kongosho una vituko jamani!lol!

Kwani "uko kijijini sana"?lol
 
Peru-6-6-11-A.jpg
Kwa wanaopenda hii kitu ipo pia
 
Ntakusimulia siku nyingine
Ila Unapanda ndege, basi, treni tukutuku au kiberenge, pikipiki, afu unamalizia na punda
Ndo unafika napoishi

Sio mbali sana
Ila miundombinu imatufanya kisiwa

Lol! Acha utani, tukutu/msumari wa moto haufiki?lol
 
Back
Top Bottom