Jf inanipa raha

Dena umesema kitu ambacho kilikua ndani ya moyo wangu!! so nimefurahi kwa kuwa kumbe JF ni kiboko ya BP, kisukari, na kila aina za misongo ya mawazo!!

Susy utapata wapi BP wakati unaongea na kucheka na key board kwa comment ya Susy usomjua raha iliyoje hiyo?? Hapa hakuna kuumwa hovyo
 
JK,Makamba,Ridhwani, Rostam na mafisadi wengine....JF Jinamizi baya sana kwao, yaani wakiingia tu... jasho huwatoka...
 
Maana kila nikiingia naishia kucheka tuu kwa jinsi member wanavyochangia na kujibiana ktk topic. Kiasi kwamba nashindwa kutoa mchango. Lkn haipiti Siku bila kuingia humu.

JF ingekuwa safi zaidi kungepatikana watu wenye akili na busara na wanaoona mbali kama mimi hata 4 hivi.. toka wampoteze malaria sugu jf inakufa
 
JF ingekuwa safi zaidi kungepatikana watu wenye akili na busara na wanaoona mbali kama mimi hata 4 hivi.. toka wampoteze malaria sugu jf inakufa

Kwa hiyo wote tuliopo humu hatuna akili?!! .......jiangalie.
 
JF ingekuwa safi zaidi kungepatikana watu wenye akili na busara na wanaoona mbali kama mimi hata 4 hivi.. toka wampoteze malaria sugu jf inakufa

Dr...nini tena hapa bana....?
 
Maana kila nikiingia naishia kucheka tuu kwa jinsi member wanavyochangia na kujibiana ktk topic. Kiasi kwamba nashindwa kutoa mchango. Lkn haipiti Siku bila kuingia humu.

Nyie ndiyo majinamizi...

Naonaga sana majina ya watu kibao wako "online" na kwenye uzi fulani.. Halafu hawakomenti kitu! Ndo ninyi!
 
Si JF sema kabisa MMU huku ni stress free raha tupu unacheka na keyboard na kuitana my love na watu huwajui basi raha tupu

Full kujiachia hapa no BP no Kisukari kwa raha zetu
Mambo Dena? Naona Susy ndo anaamka full matongotongo!
 
Pamoja na wewe kufurahia michango ya mawazo ya wana jf, nao pia wanahitaji kuona ukichangia japo kidogo ili nao wafurahie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom