Jf inanipa raha

kobonde

Senior Member
Jan 6, 2010
154
19
Maana kila nikiingia naishia kucheka tuu kwa jinsi member wanavyochangia na kujibiana ktk topic. Kiasi kwamba nashindwa kutoa mchango. Lkn haipiti Siku bila kuingia humu.
 
Ni kweli JF ina raha zake ila mchango wako ni muhimu sana kwa membaz tunaweza kujifunza kitu.
 
toa mchango banaaaaaaa usichungulie tu!!
Maana kila nikiingia naishia kucheka tuu kwa jinsi member wanavyochangia na kujibiana ktk topic. Kiasi kwamba nashindwa kutoa mchango. Lkn haipiti Siku bila kuingia humu.
 
ww kila siku ? Ss wengine ni kama kitandani . Twalala na kumkia humu humu
 
Si JF sema kabisa MMU huku ni stress free raha tupu unacheka na keyboard na kuitana my love na watu huwajui basi raha tupu

Full kujiachia hapa no BP no Kisukari kwa raha zetu
 
ha hahaaaaaaa Dena mbavu zangu bana lol uwiiiiiiiiiiiiiiiiii!!
 
haa afu suzy wewe...mbavu zako zimefanyaje sasa???kama zinauma ngoja nkupe zangu
 
Mimi nina stress sana ofisini, sikosi kuingia JF maana huwa nina-overcome stress nyingi na kurudishwa vema kimawazo na kuendelea kulitumikia taifa.
Ila michango ya wadau ni muhimu, msikose kuchangia ingieni kama hivi mnapiga danadana kdg halafu mna-mute.
 
tehe tehe jf imenisaidia saaana kabla ya kuingia jf nilikuwa nikishika tu simu nikianza kuandika lazima wife aje aanze kusoma sms na kutaka kujua nani namtumia. nilipoingia jf mwanzoni akawa anafuatilia lkn nikiwa kwenye laptop anajua napiga mzigo sasaimemshinda na sasa kazoea maana nikiamka saa kumi na mbili lazima niingie jf wakati mwingine jioni nikirudi job naspend almost four hrs kwenye jf. so kilichobaki anaguna tu mh na wewe na mitandao yako hiyooooo LONG LIVE JF!!!!!!!!
 
jf iko poa na naipenda zaidi kotokana na michango ya mawazo inayotolewa. MMU+UDAKU lazima nipige round kuona vilivyomo
 
Dena umesema kitu ambacho kilikua ndani ya moyo wangu!! so nimefurahi kwa kuwa kumbe JF ni kiboko ya BP, kisukari, na kila aina za misongo ya mawazo!!
 
Mimi nina stress sana ofisini, sikosi kuingia JF maana huwa nina-overcome stress nyingi na kurudishwa vema kimawazo na kuendelea kulitumikia taifa.
Ila michango ya wadau ni muhimu, msikose kuchangia ingieni kama hivi mnapiga danadana kdg halafu mna-mute.
Nimekupata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom