JF imenisaidia sasa nafurahia penzi

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
762
Asanteni sana wana JF kwa michango yenu. Nili post thread yangu yapata miezi miwili iliyopita kuhusiana na demu wangu kuwa na uke mkubwa kunifanya nisifurahie wakati wakati wa mapenzi. Kuna member alipost thread moja iliyokuwa inahusu tatizo hilo na akatoa ushauri wa kufanya mazoezi ya kubana mapaja mara kwa mara.

Kweli nilimshauri demu wangu amefanya na sasa naona mambo yana anza kuwa mazuri. Nimemwambia asiache kabisa ili kitu iendelee kuwa mnato.

Thank you very much
 
Hongera mjuu wangu kwa kutatua tatizo kwa njia sahihi! wengine wangekimbilia kwa mchina kuongeza ukubwa ili kuendana na mazingira halisi!
 
Mkuu hongera sana bwana na enjoy but hakikisha na mwenzio anaenjoy!
 
Aisee,kumbe hilo zoezi linasaidia eh! Ckua najua kabisa. Congs mdau.
 
Mkumbuke na kumuona invisble kule kwenye "Mkono Mtupu haulambwi"
 
Wewe unafaa sana. Ingekuwa ni mwanaume mwingine badala ya kumsaidia mwenzie apate solution ya problem basi angempga kibuti atafute mwingine mpaka atakapopata size aitakayo. Umenifurahisha sana mkuu.
 
Wewe unafaa sana. Ingekuwa ni mwanaume mwingine badala ya kumsaidia mwenzie apate solution ya problem basi angempga kibuti atafute mwingine mpaka atakapopata size aitakayo. Umenifurahisha sana mkuu.

Yaani nimefurahi sana,we ni mwanaume wa tofauti sana na Mungu akubariki,na huyo dada azidishe furaha na mafanikio yako na awe baraka yako.You made my day!
 
abane mapaja....!
Atapokua anajisikia ze utamu siataachia?
Au yy kazi ni hiyo hiyo ya kumbania jamaa?
demu ndo hana tena hamu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom