JF imenipa Degree...thanks God

ni kweli maana hapa vichwa vikali umepata elimu ya Uraia na hisi utaonewa tena na police, hutapenda Udini, Siasa za Uongo, chuki za vyama , Ufisadi na uonevu, utatetea wanyonge, kuwakomboa na kuondoa uvumi na ndoto na sera mbovu kama kilimo kwanza, badala ya elimu kwanza, Kasi zaidi ya upandaji vitu holela na ari zaidi ya kuzidisha mafisadi kila kona, asante sana kwa hiyo PHD

Hii nayo ni full-lecture.
Ahsante kwa ushauri .
 
Ni kwelii kabisa ukiwa JF na unafuatilia kwa makini sana na kutafakari kila jema na michango yote hasi na chanya unapata upeo mkubwa sana kwenye issue nyingi sana sana
 
Back
Top Bottom