JF imempeleka Kawambwa UDOM?

We mwanaharamu utaacha lini chuki zako dhidi ya waislam.mindset yako imekulia sehemu ambayo hakuma mwislam hata mmoja,ndo kwanza umewakuta udom,sasa tukiamua waislam wote tuamie udom itakuaje?ha ha ha ha ha ha ha khabith mkubwa wewe
 
Umetawaliwa na fikra za kidini. Mpuuzi mkubwa wewe!

naamini hujui yanayoendelee Udom! Au kama unajua basi na wewe ni mmoja wa hao wanaotaka kujimilikisha! Lakini mkatae,mtukane au m-beze,ukweli uko pale pale na mambo yako wazi wala haihitaji utafiti wa kutumia gharama, UDOM UONGOZI WA JUU UNAENDEKEZA UISLAMU kwa waajiliwa,maduka na cafeteria kwa asilimia kubwa(zaidi ya 90%)viko chini ya Waislam! Nani asiyekumbuka uchaguzi wa Serikali ya wanafunzi uliopita ulivyo waumbua!! Viongozi wa juu wa Natural science na Wale wa Social Sc. Wako wapi?? Kaulize uongozi wa juu Education(UDOCE)wanavyopigwa biti!! "No research, No right to say"! Ni vyema ungetambua hilo!
 
dah waisilamu sieee tunavoonewa, mtu ukiwa nje ya udom utaamini haya maneno em njoo udom ukae kidogo ndo utapata ukweli, cencus inaonyesha kuna waisilamu 1500 kati ya wanafunzi zaidi ya elf 10 halafu twaambiwa kuna udini, kama kuna mwanafunz wa udom humu wa kozi yoyote ajitaje then aseme katika course yake ana lecture wangap waisilamu na wangap wakristo maana mi katika course sita nafundishwa na muislamu mmoja, kama mtakua na kumbukumbu kuna mtu alipost orodha ya wafanyakazi wa college ya informatics humu jf, ipo mnaweza kuisearch 90 asilimia ni wakristo nashangaa huo udini upo wapi, tenda za cafeteria hapa ss udom moja tu ndo kapewa muislam same kwenye maduka, hebu anaesema kuna udini udom atoe evidence na sio kutupaka matope waislamu wa udom kumbe hatuna makosa na kama nimeongea uwongo nirekebishen
 
mimi mkatoliki lkn wewe mleta uzi huu unaumwa ugonjwa wa kuathirika.

unatibika, jenga uzalendo tu, Mulugo mbumbumbu ni muislam mbona amepewa nafasi nzuri

mkuu uache ujinga huo, wajinga huchochea hata kwa mungu wataungua kwanza

tuqacheni tuishi kwa maelewano
 
kawambwa awaambie tu viongozi wa udom watoe vyeti kwa wanachuo waliolipiwa na bodi waache wizi wa kudai ada

kisa eti hawajasaini kwani wakipewa wasaini ni tatizo aache upuuzi ule aloukubali mule bungeni
 
Dk Savinus
Maronga aliliambia gazeti
hili kuwa baada ya kuona
kuna watu wengi
wanaopenda kuendelea
na masomo ya elimu ya
juu, lakini wameshindwa
kutokana na kutokuwa na
vigezo, TCU imeamua
kuanzisha mitihani hiyo
maalumu
 
Vp kuhusiana na hiyo video na wewe kwa akili zako kabisa unaafiki kuwa UDSM pawe pa wakristo na UDOM pa waislamu.Acha kudhalilisha wa UDSM wenzako.

mm nakuunga mkono bro kuna watu hasa wasioitakia tanzania mema wanapenda uwongo uwongo uwe ukweli maana hali halisi ya UDOM kwa sasa imetawaliwa na udini tena Waislamu wameonekana hata katika mikutano waliosoma pale wanajua sema tatizo hawataki kuchuka hatua mfano kuna madam moja jina kapuni alipewa TITLE YA UDEAN yaani hana hata sifa ya kuwa ivo et kisa Muislam yapo mengi ukiyachunguza mfano kuondolewa kwa viongozi wa serikali ya wanafunzi waliokuwa wanagombea uongozi mwaka 2012/2013 yaani waliwekewa zengwe hadi wenye sifa wakatolewa haya yapo wazi mkubali na hali ibadilike
 
Msomi tumia vizuri usomi wako, acha uchochezi UDOM ni taasisi kubwa wazr wa elimu akija unashangaa nini? NI SAWA NA KUMSHANGAA BWANA SHAMBA KWENDA SHAMBANI. Kumbuka dini zililetwa na wazungu tu wala zisitutenganishe.
 
We mwanaharamu utaacha lini chuki zako dhidi ya waislam.mindset yako imekulia sehemu ambayo hakuma mwislam hata mmoja,ndo kwanza umewakuta udom,sasa tukiamua waislam wote tuamie udom itakuaje?ha ha ha ha ha ha ha khabith mkubwa wewe
Mwenye busara huwa anapinga au anakubali jambo kwa hoja... Matusi ni dalili ya kuishiwa hoja....
 
takwimu za udini udom si za kweli wakristo ni wengi sana kuliko waislamu tena kwa kiwango kikubwa mimi ni mkristo nipo hapa informatics wakatoliki tu hapa college yetu ni wengi kiasi kwamba majengo ya ibada ya sasa yanayotumika yanashindwa kuwa hifadhi wote wakati waislamu wanasali bila shida wanatosha hata matamasha hakuna jengo la kuhifadhi wakatoliki wote wa udom wakati waislamu wanafanya mihadhara yao education na wanatosha hata protestant tu hatuna jengo la kukutana pamoja mfano easter huwa tunagawana college nyingine zinafanya huku nyingine zilibobaki huku kwa hoja za udini si muhimu sana japo koleji yetu viongozi wanashinda wakristo tu kwa sababu ya udini.
hii ni orodha ya lecturers kwa kozi yangu second year.
1. JABHERA MATOGORO (RESEARCH METHOD)
2. ADOLF KAMUZORA(SYSYTEM ANALYSIS AND DESIGN)
3. MUSSA MUJAHID (COMPUTER ARCHTECTURE)
4. LEONARD MSSELE (OPERATING SYSYTEM)
5. DANIEL NGONDYA (NETWORKING)
6. KONDO (LINUX)

UKICHEKI HAPO UTAKUTA KATI YA 6 , 5 NI WAKRISTO MMOJA NI MUISLAMU KWA KUANGALIA MAJINA KWA HIYO HOJA ZA UDINI NI ZA KUPUUZA TU JAPO IDADI YA WAISLAMU CHUON NI KUBWA UKILINGANISHA NA RATIO ZA WALE TULIOKUWA NA PRIMARY SECO & ADV.
 
Msomi tumia vizuri usomi wako, acha uchochezi UDOM ni taasisi kubwa wazr wa elimu akija unashangaa nini? NI SAWA NA KUMSHANGAA BWANA SHAMBA KWENDA SHAMBANI. Kumbuka dini zililetwa na wazungu tu wala zisitutenganishe.

Safi sana mkuu ENOCK umenena mnagombania dini 2 ambazo 2mezkuta! TAFUTENE CHAPAA NDO MPANGO MZIMA
 
Back
Top Bottom