Jf imekuwa kero kupita maelezo nisaidien jaman

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,168
Jaman wanajamvi kuna njia yoyote yakujitoa au kuzuia sms za JF kwenye e-mail yangu??
Maana zimekuwa kero kwangu mimi huwa siwezi pitisha siku bila kucheki kimejili nini hapa jf lakini chaa jabu nimekuwa natumiwa mi thread kibao kwenye e-mail yangu je? Kuna njia yoyote ya kuweza kuzuia thread hizo??

Naomba msaada wenu wakuu
 
Unayaselekti yote unabonyeza kitufe cha delete zinapotea zote

sitaki nitumiwe kabisa maana hayo nitumiwayo nakuwa tayari nishayasomaaa weee ikiwezekana na kucoment kabisaa.
 
Jaman wanajamvi kuna njia yoyote yakujitoa au kuzuia sms za JF kwenye e-mail yangu??
Maana zimekuwa kero kwangu mimi huwa siwezi pitisha siku bila kucheki kimejili nini hapa jf lakini chaa jabu nimekuwa natumiwa mi thread kibao kwenye e-mail yangu je? Kuna njia yoyote ya kuweza kuzuia thread hizo??

Naomba msaada wenu wakuu
Kuwa clear bana LEGE,
Unatumiwa SMS NA THREAD?
Kwa JF niijuayo mimi hakunaga SMS na pia sijawahi kuona THREAD zinatumwa kwenye E-mAIL!...
Huenda unaongelea PMs!
MAAJABU SANA HAYA, labda utupe uzoefu ndugu!
 
PJ ndo japo ninaposhangaa mkuu
Msg za JF kwenye email
Duh may be Invisible kaanzisha hii kitu hatujajua
 
mkuu hiyo ni kweli hata mimi kuna mda natumiwaga ila nadelete but unatumiwa zile thread ambazo ulichangia
 
Msitake kuipa lawama JF on this, thead zinazokuja inbox kwako kwenye email, ni zile thread ambazo ulichangia tu. Kama hutaki zije kwenye email, usichangie thread yoyote maana default settings ni kuwa ukichangia thread humu una kuwa umesubscribe kwenye hiyo thread automatically, na unakuwa unatumiwa updates za hiyo thread. Otherwise, nenda kwenye settings ukafanye modification.
 
nashukuru wandugu kwa kunielewesha kidogo ila bado na neno naomba mnijuzi ni vipi na niwapi na process au setting zipi nifanye?!

Kwa mtaalam yeyote naomba anisaidie
 
Back
Top Bottom