JF IDs na matukio ya kimsimu!!

Hahahaha!shem rejao kanipa night shift ya milele na mda ule nilikua namstua aje tupeane cha ucku niliona kanogewa na mambo ya humu!

JF itavunja ndoa msipokua makini...duh kwa iyo akatosa cha usiku akahamia Jf?...kweli noma!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom