JF hamjambo?

Ruta alikosea bwana, atapotoshaje umma kua peku ni safi?
Watu wanakufa usiku na mchana kwa kwenda peku yeye anapromote?
Ila naona Mods wamemrudishia reputation yake. Awe mwangalifu sasa.
Teh lazma atakuwa kakoma lol
 
Please SS, nenda hii thread, changia unavo taka
but please just let me finish talking to Ivuga
Tukimaliza tutakuita uje usome, waonaje rafiki?

samahani na pole sijaona jipya lolote kule.... so niko around tooo

Woody+Woodpecker.jpg
 
Bora nikwambie hata kwa mbali maana SS kadhamiria!
Ok. during kampeni ya uchaguzi wa JF man of the year
Kuna watu walileta tetesi (za uongo) za kuchafuana tu.
Si unajua how uchaguzi unaweza kua? (refer Lusinde)
So kuna vitu watu walizusha wakati huo about EMT.
ndio sasa hivi naanza kupata picha na kwa nini wamefurahi sanaaa..ireally dont get em kwamba vya watu vikiliwa(kama kweli vimeliwa) wewe ufurahie kwa minajili gani.
 
So what happened ni kwamba ilibidi kuchukua hatua za kusave campaign
Kamati ya chama chetu (Husninyo na mimi) tukaona ni bora mimi na EMT
tuwe tunakaa offisini wakati wengine wanaenda kupiga kampeni mtaani
and naturally we got a bit close, and we got to know each other well
But hapo in bold, let me tell you straight, hakuna kitu kama hicho. kweli.
 
please kokote ulipo Kongosho, naomba uje useme neno hapa.....
 
Last edited by a moderator:
So what happened ni kwamba ilibidi kuchukua hatua za kusave campaign
Kamati ya chama chetu (Husninyo na mimi) tukaona ni bora mimi na EMT
tuwe tunakaa offisini wakati wengine wanaenda kupiga kampeni mtaani
and naturally we got a bit close, and we got to know each other well
But hapo in bold, let me tell you straight, hakuna kitu kama hicho. kweli.
ngoja kwanza nisome mara ya pili
 
Mwali
si unakumbuka wahenga walisemaga yaliyopita si ndwele tugange yajayo? you agree with them? i do agree with them
 
Last edited by a moderator:
Mwali
si unakumbuka wahenga walisemaga yaliyopita si ndwele tugange yajayo? you agree with them? i do agree with them
Well... hapo in bold ndipo penye tatizo
Remeber we still have a problem via PM
Ulipoondoka ulianzisha thread ya kuaga
na mimi nilijua unaondoka kwa kupitia thread
So nilihisi we were not that close anymore
pia nilijua utakaa miezi 9, sio wiki 9
things evolved pretty fast... and now you are back

sorry to say this but nahisi we have lost that connection...
 
that problem is gone..nilishakuambia kila kitu refer mwenyewe kule kwenye pm japo hukutaka kusikiliza..offcourse ilibidi nikae mwaka mzima sema shughuli zenyewe ziliisha haraka ndio maana umeona ujio wangu wa kushtukiza na najua ningekaa 9 month ningekuta mwana si wangu. so you agree with wahenga? kumbuka kuwa sio heshima ku criticize wahenga..and you have to respect misemo yao for the good sake..
 
Wewe Smiling Saint...:ballchain:
Nikimaliza kuongea na Ivuga I will deal with you:mad2:

tukimaliza kuongea hapa ni chumbani tunaenda kulala labda abaki hapo sebuleni aendelee kucheza PS3
 
kwa heshima na taadhima na kwa kumsikiliza dada yangu Mwali, na ndugu yangu SI..... naenda kulala..... nitachungulia hapa kesho
 
Last edited by a moderator:
that problem is gone..nilishakuambia kila kitu refer mwenyewe kule kwenye pm japo hukutaka kusikiliza..offcourse ilibidi nikae mwaka mzima sema shughuli zenyewe ziliisha haraka ndio maana umeona ujio wangu wa kushtukiza na najua ningekaa 9 month ningekuta mwana si wangu. so you agree with wahenga? kumbuka kuwa sio heshima ku criticize wahenga..and you have to respect misemo yao for the good sake..
Nakubaliana na wahenga kwa maana I am not mad at you,
but you should not expect that just because you are back
everything will be fine and back to where you left it
I have met interesting people in the mean time
Ambitious, my housemate is such a gentleman,
I really enjoy his company (and protection)
And I have to say that I am very interested in EMT too...
So this is a new landscape now Saint Ivuga...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom