JF Hall Of Fame

Mimi napatikana sana jukwaa la Mbuzi mzee lakini nimeona nihamie huku shemeji naona kuna kaubaguzi wanataka kukaanzisha huku,mchuchu wangu hajambo lakini sijamuona akipita anga hizi msalimie mwambie ninammisije sasa.....
hajambo!! ypo humuhumu sema tu mwapshana vyumba!!!!
 

swali zuri sana, na ntatoa majibu yake kama ifuatavyo.....

wewe ni mfano wa kuigwa koz wewe ni very open [kuanzia id yako] huna anything to hide, moderate, huna misimamo ya kupiliza tena leo umenikuna ulipotoa sifa kwenye ile post ya asubuhi [bila kumu offend mtu yoyote] ungekuwa hujaolewa ningehakikisha nakumiliki
 
Last edited by a moderator:
jamani hao ni wawakilishi wa wooote wanaonikosha kwenye hayo majukwaa japo wapo wengi, afu nilijua tu wataibuka wadada kulaani kitendo cha kuto wataja

Aliyelaani hata sio mdada. Ingawa hata wadada waliotajwa bado wanapendelewa. Hivi mie jina langu halivutii,hata avater nayo jamani? Anyways ntajiakinoleji mimi kwa mimi. I love me
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom