JF Hall Of Fame

leo nimeamua kuacknowledge baadhi ya wanamajamvi ambao kwa njia moja au nyingine wamekuwa ni role model wangu tangu nilipoingia jf, ntataja baadhi tu ambao watawakilisha wengine kwenye majukwaa ambayo uwa napitia pitia

1. Science na Tech nampenda kumtaja chief-mkwawa
2. jf photos , natambua uwepo wa Mbuzi Mzee bila kumsahau Boflo
3. jf mmu, hapa uwa kuna mtu anajiita Mtambuzi
4. jf chit-chat kuna pipo kama Bishanga na wengineo
5. jf doctor, hapa siwezi kumuacha kumtaja MziziMkavu

hawa ni baadhi tu, waweza ongeza list

Pia kwenye Hall of Fame yako, umesahau kumtaja mpambaji maarufu kwenye birthdays nk, dada yetu afrodenzi
 
Last edited by a moderator:
Naomba mgomo usini athiri
Kwa kweli bora hata ndg Mtambuzi umeliona hilo jambo.
MtotoSix kuwapendelea vidume wenzako ndio nini?
Ina mana sisi akina dada hatuwapi 'stimu' ya kuingia ktk majukwaa?
Hv unajua kwamba bila sisi wanawake,wamama na wadada kuwepo humu Jf mngekuwa mnang'aa macho tu wenyewe kwa wenyewe?
Piga ua galagaza She ndo mulemule humu.

Tunaweka mgomo sasa humu Jf,tuone mtakavyokonda.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
silaani chochote bana..
kila mtu anauchaguzi na uamuzi wake maishani.
wao ndio wanaoongoza kuwemo kwenye hayo majukwaa
na mi binafsi nakuunga mkono 120% .....

usema ukweli uliwataja hata mi nawapa "gold medal"
hongereni sana wakubwa.. keep it up great job

afrodenzi dear,embu nambie yule best wako mbona kapotea jukwaani? Au mlifumaniana humu?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
aahhhhhh Bishanga ..
si wastaarabu bana..

hajambo kabisa majukumu tu yamembana.. ukiwa na shida naye sana ntakuitia..

Wa kazi gani,usimwone hivo ashawahi kuchoropoa sadaka kwenye kanisa huko mpwapwa yeye na nannhii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom