JF Hall Of Fame

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
leo nimeamua kuacknowledge baadhi ya wanamajamvi ambao kwa njia moja au nyingine wamekuwa ni role model wangu tangu nilipoingia jf, ntataja baadhi tu ambao watawakilisha wengine kwenye majukwaa ambayo uwa napitia pitia

1. Science na Tech nampenda kumtaja chief-mkwawa
2. jf photos , natambua uwepo wa Mbuzi Mzee bila kumsahau Boflo
3. jf mmu, hapa uwa kuna mtu anajiita Mtambuzi
4. jf chit-chat kuna pipo kama Bishanga na wengineo
5. jf doctor, hapa siwezi kumuacha kumtaja MziziMkavu

hawa ni baadhi tu, waweza ongeza list
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Duh! mfumo dume, yaani wote ulio-acknowledge kuwa ndio role mode wako ni midume mitupu, ina maana kida dada na kina mama haiwa - hu.....! gfsonwin, nyumba kubwa, BADILI TABIA, Kaunga, MadameX, Madame B, King'asti, jeneneke, cacico, farkhina, MwanajamiiOne, Lizzy, na kina dada wengine wanaonogesha mijadala mbalimbali humu JF................Naamini nao wanastahili kuwa - acknowledged

Kwa kweli bora hata ndg Mtambuzi umeliona hilo jambo.
MtotoSix kuwapendelea vidume wenzako ndio nini?
Ina mana sisi akina dada hatuwapi 'stimu' ya kuingia ktk majukwaa?
Hv unajua kwamba bila sisi wanawake,wamama na wadada kuwepo humu Jf mngekuwa mnang'aa macho tu wenyewe kwa wenyewe?
Piga ua galagaza She ndo mulemule humu.

Tunaweka mgomo sasa humu Jf,tuone mtakavyokonda.
 
Msamehe bure,hajui atendalo.
 
Last edited by a moderator:
jamani hao ni wawakilishi wa wooote wanaonikosha kwenye hayo majukwaa japo wapo wengi, afu nilijua tu wataibuka wadada kulaani kitendo cha kuto wataja

silaani chochote bana..
kila mtu anauchaguzi na uamuzi wake maishani.
wao ndio wanaoongoza kuwemo kwenye hayo majukwaa
na mi binafsi nakuunga mkono 120% .....

usema ukweli uliwataja hata mi nawapa "gold medal"
hongereni sana wakubwa.. keep it up great job
 
Nashukuru Mtambuzi umewakilisha Wabeijing lakini ye ametaja test zake,inategemea kwake mada gani ni muhimu akiwa anapita humu.
 
leo nimeamua kuacknowledge baadhi ya wanamajamvi ambao kwa njia moja au nyingine wamekuwa ni role model wangu tangu nilipoingia jf, ntataja baadhi tu ambao watawakilisha wengine kwenye majukwaa ambayo uwa napitia pitia

1. Science na Tech nampenda kumtaja chief-mkwawa
2. jf photos , natambua uwepo wa Mbuzi Mzee bila kumsahau Boflo
3. jf mmu, hapa uwa kuna mtu anajiita Mtambuzi
4. jf chit-chat kuna pipo kama Bishanga na wengineo
5. jf doctor, hapa siwezi kumuacha kumtaja MziziMkavu

hawa ni baadhi tu, waweza ongeza list
Aisee inakuwaje sijaona mafellow tablets klorokwini na panadol yakitajwa wakati haya ndo majembe kwenye jukwaa la Great Thinkers?? Ukiugua hatutakuponya wallah!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli bora hata ndg Mtambuzi umeliona hilo jambo.
MtotoSix kuwapendelea vidume wenzako ndio nini?
Ina mana sisi akina dada hatuwapi 'stimu' ya kuingia ktk majukwaa?
Hv unajua kwamba bila sisi wanawake,wamama na wadada kuwepo humu Jf mngekuwa mnang'aa macho tu wenyewe kwa wenyewe?
Piga ua galagaza She ndo mulemule humu.

Tunaweka mgomo sasa humu Jf,tuone mtakavyokonda.

Huo mgomo wenu ni batili maana hili swala liko mahakamani kwa sasa so itabidi tu muendelee kuchangia :biggrin1:
 
andamana shemeji!! hiv we role model a jukwaa gani vle!!??

Mimi napatikana sana jukwaa la Mbuzi mzee lakini nimeona nihamie huku shemeji naona kuna kaubaguzi wanataka kukaanzisha huku,mchuchu wangu hajambo lakini sijamuona akipita anga hizi msalimie mwambie ninammisije sasa.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom