JF haina mshindani, ni zaidi ya newz media zote!

Mchekechoni

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
279
19
Ukichanganya News-media zote hapa bongo (magazeti, tv, redio, blogs) haziwezi kufikia JF kwa kuhabarisha umma tena kwa gharama nafuu sana. Kunapotokea matukio muhimu na ya kuamsha hisia za umma, kama tukio la mauaji ya Arusha na hatimaye shughuli za kuaga miili ya marehemu waliopigwa risasi katika viwanja vya NMC, utagundua bila ubishi wowote kwamba JF ni No.1 napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wana-JF wote!
 
ni kweli ndugu, kwa muda mfupi niliokaa humu, nimeipenda kwa kweli. big up
 
Ninakubali. Niko nje ya nchi lkn nimefatilia habari zote za msiba. Keep it up JF
 
Back
Top Bottom