JF Garden (Bustani ya Jei Efu)........

nimekaa najiuliza mtunza bustani ni nani....nikishamjua huyo nataka anichumie waridi zuri

Kuna Roboti Moja humu na wenzake..... Nimewai'majini kama Upepo... Manake ukikaa vibaya mara wanakulima Ban fasta
 
Garden haina maua?

Wewe ni mmoja wapo wa niowa'imajini kama maua kwenye ile garden...
Halafu yalikuwa yanapendezesha ile Garden kinoma, kivutio cha vile vindege niliyoviona vikiruka kutoka ua moja kwenda lingine kwa madaha (wenyewe wanaita Swaga)..
 
Saint Ivuga hujui hadi leo?
Mbona nilimchukua tena kwa ndoa halali mwezi uliopita?
Ila KakaKiiza , TANMO na mtu chake walileta nouma hadi mtu chake akapoteza memori akapelekwa ICU hadi leo hajarudi!
Tambua yule ndio ma wife
Vipi Mwali hajambo?

Mbona unakuwa kama Chama Cha Magamba Arifu?
Uwanja wetu sote, wewe unajimilikishia eti ni wa kwako pekee..
Acha hizo Bana..

Hivi Mtu Chake amepona ile Heart Konkesheni uliyomsababishia?
 
Back
Top Bottom