JF Focus: Interview with Maxence Melo

Special thanks to you jf-team and all moderators! Kwakweli jf sio tu ni chanzo chema cha habari bali pia ni sehemu maridhawa ya burudani na elimu, hayakuja bure haya ispokuwa changamoto mbalimbali mmekuwa mkikabiliana nazo, kwayo sina budi kuwapongeza na kuwaombea ujasiri wa kuendelea kuthubutu kwa muumba! Swali!
'kwasasa mobile user hawezi kuweka post inayozidi characters 512, je, uongozi una mpango gani wa kupanua wigo kwa mtumiaji huyu ili aweze kuandika walau characters 1000? Ahsanten na kazi njema!
 
Hongera sana INVISIBLE kwa kazi nzuri wewe na wenzio mnayoifanya. Kama tujuavyo hivi karibuni JF imetajwa tajwa huko bungeni na hasa wabunge wa chama tawala na it was not mentioned in the form of an accolade but as complaints; je mnapango gani wa kujihami iwapo ccm ikiona mambo yanaiendea vibaya karibu na uchaguzi ikiamua kuifungia JF kama walivyofanya kwa MWANAHALISI? Out of desperation they could easily do it; they did it to THE UTAMU!! Any plan B in the works?
 
Mkuu, hujaweka swali lako. Kumbuka maswali yataangaliwa kwa uzito wake na kisha kuchaguliwa maswali kumi tu ambayo mods hawataweza kujibu kwa niaba ya maxence.

Kama una swali kuhusu madame itakuwa vyema kumfuata kwenye pm. This interview will be focused on Maxence Melo and the jf dream peke yake.
King'asti kwani siku imefika yakuuliza swali??au mimi sikumuelewa aliposema watu siku hiyo wawe online??au wewe ndiye ukumuelewa??On Fridaythe 17th, at 11:00 AM east African Time (Saa tano asubuhi kamili saa za Africa Mashariki) we invite Jamii Forum Founder and owner, Maxence Melo, to respond to some of these questions. The interview will be conducted by a long time JF member, whom we believe has the necessary impartiality and perspicacity to ask Maxence pertinent questions that will enlighten our lanterns.

We welcome all questions from members and with Maxence permission we also welcome some suggestions on how to improve on Jamii Forum presence in the Tanzanian, Kenyan and eventually East African Community Political life.

We hope to have all Jamii Forums members online that day.

King'asti nafikiri hapo utakuwa umemuelewa vizuri Roulette kila la heri!
 
Last edited by a moderator:
Be Bless all JF Team, mimi swali langu si la Maxence Melo naona linaishia kwa Mods, Je, mtatumia criteria gani kuchagua ayo maswali kumi bora??
 
Mkuu, masuali tunauliza leo hadi Friday, then siku hiyo yunakua online kumsoma Maxence akijibu LIVE ila hatuwezi kuuliza masuali tena siku ya interview. Hivo ningekushahuri uwasilishe suali lako kwa mkuu King mapema iwezekanavyo ili suali lako lichaguliwe. Asante
 
Be Bless all JF Team, mimi swali langu si la Maxence Melo naona linaishia kwa Mods, Je, mtatumia criteria gani kuchagua ayo maswali kumi bora??

  • Kwanza linatakiwa suali linalo husiana na Jamii Forum, mwanzo wake, ukweli wake wa leo na mwelekeo wake wa kesho
  • Pili, halitakiwi kua suali ambali lilisha jibiwa huko nyuma, hasa katika interview ya Bongo Celebrity ambayo tmeweka link yake hapa
  • tatu, Mods kadhaa na King'asti watasoma suali na ku-evaluate kwa kutumia intimate conviction yao, kuona kama linafaa kuchaguliwa above all other questions. kuna degree ya subjectivity itakayo tumika hapa, ila kwa vile it is a collegial effort naamini hakutakua na bias yoyote. Asante kwa suali lako
 
Last edited by a moderator:
Hongereni sana JF team members and Mods woote kwa kazi nzuri. Pia nichukue fulsa hii kuwashukuru wanajaamvi wote kwa michango yao na taarifa nzuri wanazoleta hapa JF hata tusiokuwa na ujuzi wa jambo fulani tukapata kujifunza na kuelewa pia. Japo sometimes tunapishana kauli na kutokeana lugha isiyofaa, lakini naamini hii yote ni kwa sababu ya kuelimishana tu!

Swali langu kwa Mods ni kuwa: WATAREKEBISHA VIPI HII KITU YA KU-REPLY THREAD HALAFU UNACOPY THREAD NZIMA? MANAKE SOMETIMES INATIA HATA UVIVU KUSOMA ENDAPO THREAD NI NDEFU SANA NA KILA MTU ANA REPLY KWA HIYO THREAD!

Niwashukuru wote kwa kudumisha ustaarabu humu JF
 
I just want to give my heart felt congratulations on JF. It is such an educative and exciting network. It gives participants a great "space" to air their views on numerous issues. The widely different perceptions that arise, enrich and deepen our understanding on how others see issues that is not possible in many other forms of media.

Hii forum ni nzuri mno mno kwa namna inavyowapa washiriki wake nafasi ya kutoa na kushiriki maoni mbali mbali. Inaelimisha sana mimi nimefaidi mambo mengi hasa kuhusu jamii yetu ya Tanzania.
 
May God bless this guy, Maxence... the innovator, creative, inspirational and stable entity for changing the way Tanzanians of the great thinkers' context from all levels who really think and digest 'reality' against been fooled by those 'self-declared-speakers'! who did so for the past half-a-century! This great thinkers' 'jamvi' had emerged to be the only threat to those who call themselves the 'elite ones' the rulers, dominating others, but you all know what, things are no longer on their way! Jamii, the Society has taken over!

Hongera Max, and the entire JF team and members-base! Jamii imebadilika sana kwa 'nguvu' iliyo nayo JF kijamii!
 
King'asti kwani siku imefika yakuuliza swali??au mimi sikumuelewa aliposema watu siku hiyo wawe online??au wewe ndiye ukumuelewa??On Fridaythe 17th, at 11:00 AM east African Time (Saa tano asubuhi kamili saa za Africa Mashariki) we invite Jamii Forum Founder and owner, Maxence Melo, to respond to some of these questions. The interview will be conducted by a long time JF member, whom we believe has the necessary impartiality and perspicacity to ask Maxence pertinent questions that will enlighten our lanterns.

We welcome all questions from members and with Maxence permission we also welcome some suggestions on how to improve on Jamii Forum presence in the Tanzanian, Kenyan and eventually East African Community Political life.

We hope to have all Jamii Forums members online that day.

King'asti nafikiri hapo utakuwa umemuelewa vizuri Roulette kila la heri!

Kinachotokea ni kuwa unauliz swali sasa, na yatachaguliwa maswali kumi tu ili yajibiwe kwa muda uliopangwa.
so Kama una swali AMA suala uulize sasa.

Karibu kaka
 
Roulette naomba na mimi nimpongeze Maxence Melo pamoja na wenzie waliochangia kuifikisha Jamii Forums hapa ilipo.

Ningeomba tu labda kuulizia kuwa anawezaje kuhakikisha kuwa hii forum inasonga mbele as long as tunafahamu kumekuwa na mkakati wa kuwanyamazisha Watanzania wasijadili maoni yanayoonekana kama yanaiumbua serikali??.

Na pia anao mkakati gani wa kuwabana watu wanaotumia habari za hapa Jamii forums hususan wenye magazeti bila ku'acknowledge' source!!
 
Kashapata pressure za ku reveal information za users alizo nazo kama IP address/ physical location etc za members na watu hasa wa serikali?

Na kama ndiyo, alifanyaje?
 
Asanteni sana, tunaendelea kupokea masuali toka kwa members. Hadi sasa ni suali 16 tu zilizo ulizwa (some questions were repeated) na Mkuu Maxence kasema anaweza kuongeza idadi ya suali zitakazo jibiwa kuhakikisha members wanaridhika na interview hii. Karibuni wote.
 
wazo zuri sana.... ushauri wangu JF tujipange mapema tuandae angalau Anniversary ya miaka kumi, kama kuna Promotion material kama T-shirt, kofia, key holder nk vyenye nembo ya JF sisi tuuziwe ili tuweze kuongeza mfuko wa JF kwaajili ya maandalizi ya shughuli hiyo. kutoka Jambo chart mpaka hapa tulipofika si kazi ndogo angalau tuwe na siku ya kupeana pongezi. Mac na Fillga wanajua tumetembea km ngapi mpaka hapa tulipo. Mac hivi DJ sure na Fgrt wapo??
 
Back
Top Bottom