JF FC-The Dream Team

Balantanda

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
12,476
4,752
Baada ya Stars kutolewa nimeona ni bora tuanzishe Stars yetu mbadala ndani ya JF ambayo nina uhakika hata ikienda Bondeni mwakani lazima kombe la Dunia lije Bongo......Timu hiyo ni kama ifuatavyo: 1.Share…..(Huyu bwana nimeangalia kwenye ile thread ya CHAN Live alikuwa upande wa Dihile sana,hope atatusaidia sana golini,atakuwa kama Juma Pondamali vile).
2.Shadow(Huyu yeye namfananisha na David Mwakalebela yaani).

3.Mwazange(Huyu atatupa vitu vya mzee mzima Alphonce Modest).

4.Bubu Ataka Kusema( mkoba wenyewe huu kama Salum Kabunda ‘Ninja').

5.Belo( Hiki ni kisiki kama George Magere Masatu).

6.Invisible(Huyu ni Kiungo mkabaji mithili ya Hayati Method Mogella ‘Fundi,yeye ndiye Nahodha wa JF FC).

7.Masanilo( Winga tereza wa upande wa kulia,yeye anacheza kama Abubakar Salum ‘Sure Boy').

8.Mfumwa(Huyu ni kiungo mshambuliaji yeye atacheza mithili ya Hussein Aman Marsha).

9.YoYo(Huyu ni mshambuliaji wa kati mwenye uchu wa magoli mithili ya Zamoyon Mogella,tutegemee magoli mengi jamani).

10.Hofstede(Atamsaidia YoYo pale mbele kumalizia mipira ya vichwa itakayotoka winga za pembeni,pia atamalizia krosi,atacheza kama Abeid Mziba ama Innocent Haule).

11.Icadon(Winga ya kushoto huyu,yeye atacheza kama Edy Lunyamila).

Reserves: Mkama P(GK),Mzalendo Halisi,Amwanga,Kana Ka Nsungu,KGM,Invincible,Alpha na Pasco…

Manager wa timu atakuwa Nziku akisaidiwa na mzee mzima Ben na YourNameIsMine(kocha wa makipa).

Kamati ya Ufundi itaongozwa na Mzee Mwanakijiji akisaidiwa na Mzee wa Gambosh Nyani Ngabu,wajumbe wengine wa kamati watakuwa ni: Rev.Kishoka,Mkandara,FMES,Kuhani,Mkandara na Mpaka Kieleweke.

Kamati ya saidia JF FC ishinde itaongozwa na Mama akisaidiwa na First lady,pia watakuwepo Belinda Jacob.Kelly01,Neemah,Philemon Michael,GT,Balantanda mwenyewe,Susuviri ,Son of Alaska,Mtanzania,Nyambala,Mwikimbi,Mbu na Maxence Mello…
 
Last edited:
Kamati ya Ufundi itaongozwa na Mzee Mwanakijiji ,wajumbe wengine wa kamati watakuwa ni: Rev.Kishoka,Makandara,FMES,Kuhani,Mkandara na Mpaka Kieleweke.
kwikwikwikwikwikwikwi si mnajua soka la bongo hapa ndipo kwenye ushindi sio first 11........hii lazima iwe dream team......mkuu kamati ya ufundi imetulia
 
Ntake radhi mkubwa, yani striker mkali kama mimi unaniweka benchi au ndo watanzania hamtaki magoli ya kufunga kama mvua kwa kuwa hamjayazoea? Wananchi wataandamana kwa hili na huenda kibarua cha kocha kikaota majani kwa kumuweka KKN benchi. Na uwatoe kabisa hao wanasiasa kwenye uongozi wa timu, watatuletea politiki zao na blahblah nyingi, tutafutie viongozi wanaojua soka vinginevyo South Africa itakuwa ni ndoto! Halafu ukaongezee kale kademu ka NN kwenye kamati ya ushindi ili katuhamasishe kwa kutuchua misuli kabla na baada ya game kama ambavyo watakuwa wakifanya Mama na FL!
 
Hapa KKN yeye ni Super Sub aka Golden Boy(Kama Hassan Hafif enzi zile) yeye kazi yake ni kuusoma mchezo ili kama mastriker wananoanza akina YoYo wanashindwa kufunga magoli yeye ndo anakuja kuokoa jahazi/kutengeneza ushindi,so KKN kawekwa benchi kwa sababu maalum za kiufundi.....Kuhusu hao wazee wao ni 'kamati ya ufundi',hope unajua nini kazi ya kamati ya ufundi kwenye soka letu la BONGO....Ushindi lazima mkuu
 
Baada ya Stars kutolewa nimeona ni bora tuanzishe Stars yetu mbadala ndani ya JF ambayo nina uhakika hata ikienda Bondeni mwakani lazima kombe la Dunia lije Bongo......Timu hiyo ni kama ifuatavyo:

Kamati ya saidia JF FC ishinde itaongozwa na Mama akisaidiwa na First lady,pia watakuwepo Philemon Michael,GT,Balantanda mwenyewe,Susuviri ,Son of Alaska,Mtanzania,Nyambala,Mwikimbi,Mbu na Maxence Mello…

..."tawire, tawire!"... kabla hamjatuletea mambo yenu ya "uzungu!" sijui 'maximo', natanguliza mafundi wawili wa kuaminika kabisa, ambao hata Zizou na Becks walitaka kuwatumia miaka ilee muungwana alipowakaribisha Bongo,
wa kwanza ni;
View attachment untitled.bmp
...huyu Bafana bafana wamemtumia sana kipindi cha nyuma.."tawire baaaba, tawire!"...:D
wa pili ni;
View attachment untitled1.bmp
...huyu info zake bado zipo classified, asije aka'pindishwa' buree, 'inasemekana' anatumia mifupa ya nanihii huyu..! mnh-hu! "tawire!"
 
Sawa Mkuu, mbona wee haupo hapo? Sasa mbona hujasema lolote kuhusu kale kademu ka NN? Au mpaka umuombe ruhusa?
 
Sawa Mkuu, mbona wee haupo hapo? Sasa mbona hujasema lolote kuhusu kale kademu ka NN? Au mpaka umuombe ruhusa?

Mi nipo kwenye Kamati ya saidia JF FC ishinde..Kelly01 tayari yupo ndani ya nyumba(sijui kwa nini nilimsahau shemeji yangu jamani)
 
Hii haijawa Dream Team bila Nyani 'The Outstanding Son' of Ngabu kuwa kwenye starting eleven....

Wewe utabeba tunguli na vile vya kunyunyizia wachezaji kama alivyonynyizia Mzee wa Vijisenti pale Bungeni Dodoma ;) ili kuhakikisha ushindi unapatikana ha ha ha ha ha...LOL!
 
Kweli JF Ville Inakuwa. Wanja je?

Uwanja wa Taifa JF Ville...nani atajenga, Wachina?:D

Ma reserve hamna, mbona?
 
Mbona sijamuona AbTchaz hata kwenye kamati yeyote then KKN must in first XI
 
Yoyo tatizo hana stamina anatakiwa aingie sub zile dakika za nyongeza
 
Baada ya Stars kutolewa nimeona ni bora tuanzishe Stars yetu mbadala ndani ya JF ambayo nina uhakika hata ikienda Bondeni mwakani lazima kombe la Dunia lije Bongo......Timu hiyo ni kama ifuatavyo: 1.Share…..(Huyu bwana nimeangalia kwenye ile thread ya CHAN Live alikuwa upande wa Dihile sana,hope atatusaidia sana golini,atakuwa kama Juma Pondamali vile).
2.Shadow(Huyu yeye namfananisha na David Mwakalebela yaani).

3.Mwazange(Huyu atatupa vitu vya mzee mzima Alphonce Modest).

4.Bubu Ataka Kusema( mkoba wenyewe huu kama Salum Kabunda ‘Ninja’).

5.Belo( Hiki ni kisiki kama George Magere Masatu).

6.Invisible(Huyu ni Kiungo mkabaji mithili ya Hayati Method Mogella ‘Fundi,yeye ndiye Nahodha wa JF FC).

7.Masanilo( Winga tereza wa upande wa kulia,yeye anacheza kama Abubakar Salum ‘Sure Boy’).

8.Mfumwa(Huyu ni kiungo mshambuliaji yeye atacheza mithili ya Hussein Aman Marsha).

9.YoYo(Huyu ni mshambuliaji wa kati mwenye uchu wa magoli mithili ya Zamoyon Mogella,tutegemee magoli mengi jamani).

10.Hofstede(Atamsaidia YoYo pale mbele kumalizia mipira ya vichwa itakayotoka winga za pembeni,pia atamalizia krosi,atacheza kama Abeid Mziba ama Innocent Haule).

11.Icadon(Winga ya kushoto huyu,yeye atacheza kama Edy Lunyamila).

Reserves: Mkama P(GK),Mzalendo Halisi,Amwanga,Kana Ka Nsungu,KGM,Invincible,Alpha na Pasco…

Manager wa timu atakuwa Nziku akisaidiwa na mzee mzima Ben na YourNameIsMine(kocha wa makipa).

Kamati ya Ufundi itaongozwa na Mzee Mwanakijiji akisaidiwa na Mzee wa Gambosh Nyani Ngabu,wajumbe wengine wa kamati watakuwa ni: Rev.Kishoka,Mkandara,FMES,Kuhani,Mkandara na Mpaka Kieleweke.

Kamati ya saidia JF FC ishinde itaongozwa na Mama akisaidiwa na First lady,pia watakuwepo Belinda Jacob.Kelly01,Neemah,Philemon Michael,GT,Balantanda mwenyewe,Susuviri ,Son of Alaska,Mtanzania,Nyambala,Mwikimbi,Mbu na Maxence Mello…

YALE YALE MAMBO SIMBA NA YANGA.......SIE PRISONS,MTIBWA TUNAITAJI KAZI
 
Mbona sijamuona AbTchaz hata kwenye kamati yeyote then KKN must in first XI

Si unajua JF ni kama Brazil mkuu,yaani tuna wachezaji wengi na wenye vipaji kiasi kwamba ilimuwia vigumu Kocha katika kuiteua Timu hii...Hata hivyo AbTchaz bado ana nafasi katika timu na nimemuuliza Kocha juu ya hili kaniambia hajamuita kwa sababu ni majeruhi,ila tumtegemee katika kikosi kijacho maana Timu hii si ya kudumu itakuwa ikibadilishwa kila wakati kwa lengo la kupata Kikosi imara...Ila kwa sasa hiyo ndo 1st Eleven...Kuhusu KKN yeye kaweka kwenye sub list kwa lengo maalum(angalia maelezo hapo juu),si unajua mambo ya Supersub tena??
 
Back
Top Bottom