JF Fanpage @Facebook...

huyo jamaa 2nashindwana kwnye lugha, naomba uwe mkalimani wangu bathi.
POPOBAWA.

naona unajichekesha sasa, usiniombe ukoo.
Wakati unajisajili JF maelekezo yote yalikuwa yameandikwa kizungu, sijui uliweza aje kujisajili halafu leo ushindwe kumuelewa Consi.
BTW: Mada hapa ni topic yangu ninayotaka kuipeleka fanpage ya FB, naomba maoni yako twaffazal...
 
Kama utapata kibali siyo mbaya ukiipeleaka huko na itakua bomba mana siyo wote huwa 2naingia twenye huto 2jukwaa hapo chini.

Welll!
Thats the spirit... nitaiweka kwa hakika!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom