JF Fanpage @Facebook...

Watu kwa kufata mkumbo bana!!!!facebook ina nafasi yake!fb for life!bab kubwa....

mi nawaelezaga kila siku, wasipende kuadjust mawazo yao ili tu kuwafurahisha watu wengine.
Sasa unakuta jitu linalalamika kuhusu pumba za FB, wakati friend list anaimanage mwenyewe, tena wengine kati ya hao watema pumba aliwa-add mwenyewe...
Mi nina sheria moja, nikiona mtu kila uchao anapost pumba, nam-unfriend tu...
Malalamiko mengine ya kipuuzi sana. Aaaaaagh...
 
Facebook agriiiiiiiiii*"!¥,&'#"*/¥#".........
POPOBAWA.

The value of Facebook to you depends on your friendlist(kind of them) and your own interest.
Only shallow thinkers can dis it. You post them shits, they comment shits.
They never post or comment shits to me, if they doubt the post they always ask me in the camara(chamber), they dont go straight out in the open.
You misbehave, you are given a time to repair yourself, you fail to, you are unfriended or blocked. Rules are this simple.
Son, Im just trying to Cut you loose from those ties.
 
bhaeleze habho...
 
usiishi kwa mazoea ili kuwafurahisha watu.
Ati kwa vile member wa JF wanadiss FB, basi na wewe mishipa inakutoka ili uprove uGT wako eh?
Baadae nitaeleza namna ya kurutubisha Facebook, ili ikufae maishani.
Mimi sipendi kuishia kulalama tu...

Umeona ehhh kuna watu humu sijui vipi ... Wanajifanya wana diss facebook lakini nenda kwenye jf group la Facebook wamejaa tele

Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
 
usiishi kwa mazoea ili kuwafurahisha watu.
Ati kwa vile member wa JF wanadiss FB, basi na wewe mishipa inakutoka ili uprove uGT wako eh?
Baadae nitaeleza namna ya kurutubisha Facebook, ili ikufae maishani.
Mimi sipendi kuishia kulalama tu...

Acha kuropoka mkuu, nani anaishi kw mazoea?!! ......mi naongelea ninachokifill moyoni mwangu siyo kufurahisha umati. ngoja nikueleze tu ni kwamba kabla sijajiunga jf nlikua huko fb ila tokea nijiunge jf nimetokea kuichukia sana fb mana naona ni upuuzi 2 ambao upo kule m2 anaweka picha mnaishia kuisifia!!kha. na mimi siyo m2 wa mauzo .......

soma post ya Consigliere hapo juu.
Hao wanaoishia kuweka picha na kusifiana si umewaona kwa vile ni rafiki zako, ama?
Kuna mawili, hutaki kudeal na tatizo, au unafurahisha umati. Kuna watu huwa wanapost vitu vya maana sana FB, ila kama hawako kwenye friendlist yako, huwezi kuwaona.
Thats it!
 
The value of Facebook to you depends on your friendlist(kind of them) and your own interest.
Only shallow thinkers can dis it. You post them shits, they comment shits.
They never post or comment shits to me, if they doubt the post they always ask me in the camara(chamber), they dont go straight out in the open.
You misbehave, you are given a time to repair yourself, you fail to, you are unfriended or blocked. Rules are this simple.
Son, Im just trying to Cut you loose from those ties.

We ndio shalo thinker unae2mia lugha ya kidavid kameruni ili 2kuone umesoma, kumbe unaonekana mshamaba 2.
POPOBAWA.
 
soma post ya Consigliere hapo juu.
Hao wanaoishia kuweka picha na kusifiana si umewaona kwa vile ni rafiki zako, ama?
Kuna mawili, hutaki kudeal na tatizo, au unafurahisha umati. Kuna watu huwa wanapost vitu vya maana sana FB, ila kama hawako kwenye friendlist yako, huwezi kuwaona.
Thats it!

sijakuelewa lengo lako hapa ni lipi hasa?!!kwa hiyo ww unanilazimisha nikipende ki2 nisichokipenda!!lol

kumbe ni mambo ya mapenzi? Basi ungesema kuwa hupendi FB, basi. Tatizo umekuja na vijisababu vyako uchwara, maGT ndo tunavipangua kimoja kimoja hapa.
 
We ndio shalo thinker unae2mia lugha ya kidavid kameruni ili 2kuone umesoma, kumbe unaonekana mshamaba 2.
POPOBAWA.

Here comes another Garbage, ina maana kwako ufahamu wa lugha ndiyo kipimo cha usomi wa mtu?

Kesho utalalamika kuwa tunaendekeza sana tamaduni za kizungu, badala ya kutembeleana kama ilivyo mila ya kiafrika, tunapigiana simu na kutumiana emails.

Sijaona popote ukionyesha tatizo na comments zangu bali lugha.

Nikukumbushe tu, labda kwa kuwa hatujakutana sana mimi na wewe hapa online, kwa kifupi ni kuwa kama ulidhani kuniita mshamba utakuwa umefanikiwa ku attack hisia zangu, umekosea kwani ni kweli kuwa mimi ni 'mshamba tu' hata makazi na shughuli zangu ni shamba, naomba nikushukuru kwa utambuzi wako.

Umedhihirisha u-shallow thinker wako kwa your style of grouping letters (SMS language/typing).

Anyway hatukukosoi kwa kupenda, au kutokupenda bali kwa ku-Generalize issues bila ku-lay down factors.

Son, I believe you can be better than that, because I lways believe A lo loco se corre mejor.
 
kumbe ni mambo ya mapenzi? Basi ungesema kuwa hupendi FB, basi. Tatizo umekuja na vijisababu vyako uchwara, maGT ndo tunavipangua kimoja kimoja hapa.

Utamaliza yoote mwenyewe, ulianza na kufurahisha umati,ukaja nafuata mkumbo sahivi mapenzi!! sijui kifuatacho nn? kwani huku hakuna mapenzi?! ......

mie majibu yangu mafupi mafupi bwana. Hebu malizana kwanza na mwamba hapo juu...
 
Here comes another Garbage, ina maana kwako ufahamu wa lugha ndiyo kipimo cha usomi wa mtu?

Kesho utalalamika kuwa tunaendekeza sana tamaduni za kizungu, badala ya kutembeleana kama ilivyo mila ya kiafrika, tunapigiana simu na kutumiana emails.

Sijaona popote ukionyesha tatizo na comments zangu bali lugha.

Nikukumbushe tu, labda kwa kuwa hatujakutana sana mimi na wewe hapa online, kwa kifupi ni kuwa kama ulidhani kuniita mshamba utakuwa umefanikiwa ku attack hisia zangu, umekosea kwani ni kweli kuwa mimi ni 'mshamba tu' hata makazi na shughuli zangu ni shamba, naomba nikushukuru kwa utambuzi wako.

Umedhihirisha u-shallow thinker wako kwa your style of grouping letters (SMS language/typing).

.

Ewaaaa kumbe kiswahili unakijua. sasa unapoandika kiingereza wakati kiswahili unakijua unamaanisha nn?
POPOBAWA.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom