JF Exclusive: OC CID Kawe... (inahusiana na Dr. Ulimboka)

Dr.Ulimboka huyooo anarudi,sijui itakuaje manake mwanahalisi imegaragaza vibaya serikali leo,inaonekana hii issue haitaisha kimya kimya,this time inaonekana tofauti sana.
 
Sinema ya kova inazidi kuparaganyika taratibu. Kila kukicha ushahidi mpya unapatikana. Huyu wa kunyumba kama ameanza kuropoka ajihadhari siku zake zitakuwa zinahesabika.


Walishindwa kuelewa kuwa yakaisari ni ya kaisari na ya Mungu ni ya Mungu......Maongozi yakiroho yawezaje tolewa na kiongozi wa kimwili? Goodness me Gwajima anajua tofauti ya command ya Holly spirit na ile ya kimwili ndiyo maana alikubali sadaka ya Mwakyembe kwamaelekezo ya Ame na kukataa madhabahu ya bwana Yesu kutumika kuficha uovu ndiyo maana badala ya kutengeneza wakaharibu mazima....Mungu wetu hadhihakiwi wala hadanganyiki na wala yeye hamdhihaki mtu, next time yangoswe wamwachie ngoswe!
 
Jamani someni Mwanahalisi la 25/07/2012 lime fanya uandishi wa kiintelijensia kabisa juu ya ushiriki wa TISS kwenye sakata la Dr. Ulimboka sijui watajificha wapi?
 
Back
Top Bottom