JF Exclusive: Hotuba ya Nyerere 1995

Mwaka 1995 ktk ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma , Mwl . Nyerere alihutubia ktk mkutano mkuu wa kumchagua mgombea Urais kwa ticket ya CCM ktk uchaguzi mkuu wa mwaka huo . Sehemu ya hotuba yake Nyerere alisema ;
"Hatuwezi kumpa mtu nchi kwa majaribio . Zipo sehemu nyingi za kufanya majaribio lakini sio ikulu . Tunaweza kuwapa ubunge wakafanya majaribio , tunaweza pia kuwapa wilaya wakajaribu huko , au tukawapa eneo kubwa kama mkoa (kabisa kabisa ) wafanye majaribio . Lakini hatuwezi kuwapa nchi watu wanaotaka kufanya majaribio . Uongozi wa nchi si wa majaribio ."

"akili za kupewa changanya na zako halaf tupe jibu"
 
Mwalimu J.K Nyerere ambae ndo alikuwa rais wa kwanza Tanzania aliwahi sema kwamba ikuru si mahali pa mchezo,ikuru ni mahali patakatifu.Sasa mheshimiwa JP Magufuli anavyosema kaachiwa mzigo mkubwa na JK anamaanisha nni,au yye alitarajia nni tofaut na kaz?..........Maoni kwa mzee JP Maguful,piga kazi kama kauli mbiu yako inavyosema hapa kazi tu,achana na lawama
 
Back
Top Bottom