JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

Mzee mwanakijiji huwa sikuamini...hivyo vyanzo unavitoaga wapi? Unauhusiano mkubwa na usalama wa taifa ww. Nakumbuka hata ushindi wa Arumeru ww ndo ulikuwa wakwanza ku2juza kabla hata 2me haijatangaza.
 
hakuna sauti ya dr ulimboka hata kidogo, sasa MK tusubirie hicho kipande cha pili mpaka lini? okey ngoja tuwe na subira
 
Serikali inamuogopa na kushindana na jeshi la mtu mmoja!!!upumbafu sana!!!walikuwa wanadhania ikulu ni pa kucheka cheka????panahitahiji brains na walishaambiwa hawana brains
 
Vipi mbona hio sauti ya Malafyale Dr, Steven Ulimboka haipo? au imechakachuliwa na Virus ccm?
 
Mohamed_Bouazizi.jpg




Mohamed Bouazizi - Wikipedia, the free encyclopedia

Tunisia: How Mohammed Bouazizi Sparked a Revolution - TIME

Mkuu huyu jamaa noma manake ameng'oa wengi hata ambao walikuwa hawafikiriki: Col. Gadaffi, Rais wa Tunisia, Mubarak na sasa anamwinda Bashir!
 
Sehemu yake ya pili siwezi kuweka kwa sasa ili kuwaacha polisi wafanye kazi yao....

[video=youtube_share;sXra6U3jYP4]http://youtu.be/sXra6U3jYP4[/video]

Mzee MKJ , kazi gani tena unawaachia polisi wafanye na wakati walishaifanya?!.. Kama una extra data tiririka ili watu tujue
 
Sehemu yake ya pili siwezi kuweka kwa sasa ili kuwaacha polisi wafanye kazi yao....

[video=youtube_share;sXra6U3jYP4]http://youtu.be/sXra6U3jYP4[/video]

Mzee MKJ , kazi gani tena unawaachia polisi wafanye na wakati walishaifanya?!.. Kama una extra data tiririka ili watu tujue wapi tuanzie kubanjuka.....
 
Tafadhali rudia tena kusikilizaaaaa samahani kwa usumbufu; ndio tatizo la kuwa kijijini hadi upate mafuta ya taa.. seriously sorry kwa usumbufu.
 
Back
Top Bottom