JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

Dr ulimboka amekuwa alama ya uovu wa ccm sikumoja ataandikwa kuwa ndio moja ya sababu kuu za waovu hao kuondoka madarakani tunapaswa kujua when you fight an eveil system it will alaways fight back hii ni vita na haitakosa majeruhi ila mwishoni tutaushinda uovu huu
 
Sasa wewe mwanakijiji mbona haya ni mawazo yako? Yaani wewe unaiita exclusive halafu unatoa hisia zako? Hayo maneno yako si ungeyaandika tu hapa JF, na ungeeleweka?
 
Mzee sauti ya Dr Ulimboka haipo au ndivyo hivyo tusubiri?? Inasikitisha sana na inatleta uchungu mkubwa sana. Inabidi wananchi sasa tumjue nani adui yetu namba moja. Hatuwezi kuwalipa mishahara halafu watuteke, watupige, watutupe porini ili tufe. Madai ya madaktari kwa kiwango kikubwa ni ya msingi sana na yanajali afya zetu na za hao wanaowafanyia unyama.

Kama nchi na wananchi tuseme basi imetosha, kama ni haki wapeni haki yao! matumizi ya nguvu za kiusalama, polisi, Jeshi, wahuni au vibaka kutishia ili Madoc warejee kazini haziwezi kututibu sie akina yakhe.
 
Ninapenda ijulikane kuwa usalama wa ma dr. Ipo hatarin na usalama wa uliimboka upo hatarini zaidi kwa hao maadui watapenda kuuficha ukweli
 
Mohamed_Bouazizi.jpg




Mohamed Bouazizi - Wikipedia, the free encyclopedia

Tunisia: How Mohammed Bouazizi Sparked a Revolution - TIME
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom