JF Email Accounts

Status
Not open for further replies.
Invisible Mungu akubariki kwa service hii maana sisi tuliianza zamani na inakwenda vizuri. Ngoja nikasome mails zangu.
Je Tshirt zinapatikanaje?
 
Invisible Mungu akubariki kwa service hii maana sisi tuliianza zamani na inakwenda vizuri. Ngoja nikasome mails zangu.
Je Tshirt zinapatikanaje?

Mmmmmh

lol.

Nilitaka nishangae, kumbe weye wafaidi vinono kimya kimya?

Hongera.
 
..................na mimi tafadhali, nisaidie e-mail address hiyo.
asante
 
Na mimi naomba unifungulie mkuu...japo itakua imekaa kimagamba zaidi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom