Jf doctors naomba msaada

Mocrana

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
536
122
sina uhakika na hali inayoendelea mwilini mwangu, mzunguko wangu huwa ni siku 28, mwezi wa pili niliona siku zangu tar 11 then nikakutana na mume wangu kati ya tar 23-26, sasa tar 4 ghafla nikapata kitu kama hedhi ingawa ni kwa kiasi kidogo na ni asubuhi tu, hali hiyo ikaendelea hadi tar 8 ingawa haikuwa nyingi kidogo mno, kinachonishangaza ni kuwa mimi kwa kawaida nikiingia hedhi huwa napata maumivu sana, na kutokana na mzunguko ilitakiwa nipate hedhi tar 10, kitu kingine nikuwa najisikia kula kula sana, na mdomo wangu ni kama vile nina malaria, nachoka na matiti yanauma sana, je naweza kuwa na tatizo au ni mabadiliko ya mwili ya kawaida, nilipo kwa sasa ni kijijini kidogo na ni mbali na hospitali.
 
Pole sana, nenda hospitalini kapime.
Nahisi kama una mimba!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom