JF Chit-chat uuuuuuuuuuuuuuwi!!!!

BW, kabakabana, Erickb52, Amyner, Sweetlady, Mtei one, Cantalisia, kongosho, Husninyo, Tanmo, smiling saint, Bagah, klorokwini, uporoto, duuuh wengine jijazieni hapo!

Amini usiamini wakati nakuja JF nilijua ni siasa tu. ila nimekuja kujua chitchat nimejikuta nafungua moja kwa moja huku kule siasa imekuwa kwa msimu... wakiong'oa hii kitu ntarudi siasa mnyonge
 
Amini usiamini wakati nakuja JF nilijua ni siasa tu. ila nimekuja kujua chitchat nimejikuta nafungua moja kwa moja huku kule siasa imekuwa kwa msimu... wakiong'oa hii kitu ntarudi siasa mnyonge
Wala usijali dogo kila kitu na nafasi yake.....
Chit-Chat ni poa na majukwaa mengine pia yako safi....
 
Amini usiamini wakati nakuja JF nilijua ni siasa tu. ila nimekuja kujua chitchat nimejikuta nafungua moja kwa moja huku kule siasa imekuwa kwa msimu... wakiong'oa hii kitu ntarudi siasa mnyonge
Mie pia nilijiunga kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2010, mda mwingi nilikuwa nashinda kwenye siasa, mara hamadi nkagundua kuna chit chat looh salale sa ngapi nisiweke kambi moja kwa moja? Lol..

Huwa napita kwenye siasa pia Rejao akinikera narudi zangu chit chat kujipa raha...
 
Mngejua mnayokera.....!!!! mngejilamba ulimi!!! loh!!.
 
Afu jana pia alivofagia hakuchoma zile taka, yukwapi afagie sasahivi?
Hahahaaa na kwa muda wote aliokaa moshi najua lazma alisafisha mji maana hawezi kuchomoka hata kwa kutuma ka karatasi ka voucher...
Siunajua Ms ulinzi kila mahali
 
Mngejua mnayokera.....!!!! mngejilamba ulimi!!! loh!!.
Hamia Jukwaa la Matangazo madogomadogo kunakufaa ukawe Kilanja mkuu wa kukwaa
Hahaa
Huku kuna chit-Chat mwanzo mwisho....
Halafu ukipita jukwaa ukaona thread haikuvutii unajikausha Big X.....
 
Hahahaaa na kwa muda wote aliokaa moshi najua lazma alisafisha mji maana hawezi kuchomoka hata kwa kutuma ka karatasi ka voucher...
Siunajua Ms ulinzi kila mahali
Hahahaha! Ms pasafi huruhusiwi kutema hata mate lol. Bagah atajuta kwenda Ms..
 
Canta dear sijambo, nilitaka kuja hapo kukupa suprise visit ila mambo yameingiliana.. Miss u shost.. Shem wako b52 mzima kabisa. Amesafiri kikazi.. Shem rejao yupo?

si umwambie ukweli tu kuhusu Erick
 
Kwan umelazimishwa kuja humu?b haya chapa lapa fasta... au umekuja kuwatafutia watu ban?
Achana nae bana hana jipya huyu na wala hajaanza leo, ukikubali upate ban jukwaa la chit chat mie nakununia,

ukipatia jukwaa la siasa nakurecharge kwenye ile line yako ya voda...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom