JF Chit-chat uuuuuuuuuuuuuuwi!!!!

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Kweli mmeshindikana..................!!! mi nimeamua kuwacheki tu....!!! lakini mjue bado naendeleza kampeni zangu za kuin'goa hii kitu. Kuna watu humu ndio alaaah!!!.
 
haya wale ambao Chit chat iking'olewa wataondoka JF wanyooshe mikono juu...... wa kwanza nani?
 
Amy mambo?
Nimekumisije?
Shemu wangu B52 hajambo?

Canta dear sijambo, nilitaka kuja hapo kukupa suprise visit ila mambo yameingiliana.. Miss u shost.. Shem wako b52 mzima kabisa. Amesafiri kikazi.. Shem rejao yupo?
 
Canta dear sijambo, nilitaka kuja hapo kukupa suprise visit ila mambo yameingiliana.. Miss u shost.. Shem wako b52 mzima kabisa. Amesafiri kikazi.. Shem rejao yupo?
Jaman kesho fanya uje bana,
Km hajambo poa,acha awajibike bana si unajua mwanaume anasifiwa kazi!!!

Shemu wako Rejao hajambo kbs ila km ujuavo yuko kichama zaidi mpaka Arumeru kieleweke lol!
 
makari hodari
kaenda safari
yoho yoho

katika safari
kashinda hatari
yoho

mama yake makari
kapata habari,
kasema: hodari mwanangu
yoho
kampiga kimamba
katika miamba
yoho yoho
najua ya kwamba
atajigamba

mama yake kimamba
madonda kalamba
nitie kipamba,
mwanangu
yoho
 
Kweli mmeshindikana..................!!! mi nimeamua kuwacheki tu....!!! lakini mjue bado naendeleza kampeni zangu za kuin'goa hii kitu. Kuna watu humu ndio alaaah!!!.

kwani kuna misumari humu ndani ebooo...
 
makari hodari
kaenda safari
YOho YOho

katika safari
kashinda hatari
yoho

mama yake makari
kapata habari,
kasema: hodari mwanangu
yoho
kampiga kimamba
katika miamba
yoho yoho
najua ya kwamba
atajigamba

mama yake kimamba
madonda kalamba
nitie kipamba,
mwanangu
yoho

Hili jina Yo Yo ulilipata kwenye huu wimbo arifu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom